Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Kumbe nini sasa mkuu, kuuza na kununua fedha za kigeni ndio forex hiyo.
Mkuu forex app ikoje kule play store?Kumbe nini sasa mkuu, kuuza na kununua fedha za kigeni ndio forex hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahh yeahh ... yeye alidhani ile ya Ontario ya ku tred online hahaKumbe nini sasa mkuu, kuuza na kununua fedha za kigeni ndio forex hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijifunze mkuu!unataka kufanya forex ( foreign trade exchange) ila unatak kufanya ki local haina faida labda uwe maeneo ya mipakani au sehemu zenye uitaji wa kuchange fedha
ni vyema kuifnya kupitia plarform ya Mt 4 ujifunze kwanza then ufanye kununua na kuuza huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo forex achana nayo kabisa we Fanya kuchange local pesa yako unaiona lakn ukiingia hyo forex utqkuja kuleta mrejesho humu take care
Mkuu! Tafuta biashara ya kuzalisha Mali! Achana na mbwembwe izi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi sizioni nyuzi za forex. Kuna tatizo gani ?