Biashara ya kununua na kuuza dola

Biashara ya kununua na kuuza dola

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Habari wana JF!

Nimewaza kufanya biashara hii ya kununua na kuuza dola, nanunua bei inaposhuka na kuuza bei inapopanda!

Naombeni uzoefu wenu, Jinsi ya kufanya ili niweze kuifanya biashara hii.....

NB: Sina uwezo wa kufungua ofisi ya Bureau de Change kwa sasa!
PicsArt_02-21-05.38.12.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom