Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Tuna pokea oda ya mchele wa mbeya..kuanzia kilo tano..tuna kuletea popote ulipo..gharama ya mchele kilo moja ni shilingi 2000...hii ni kwa wakazi wa dar es salaam...mzigo unaingia week ijayo..
 
Nipo arusha nauza mahindi. Gunia moja 70,000 karibuni pm.
 
Mwenye uzoefu wa kutoa mazao mikoan na kuleta dar aniambie changamoto na mtaji wa kuanzia, kama yupo nishirikiane naye mpaka niwe mzoefu
 
Wakuu habari za mida

Nimelea lea kabiashara kangu ka kwanza kamekua kua, nataka ongeza ya pili, nimekaa nikawaza na kuwazua wazo lililonijia n kufanya biashara ya kusafirisha mchele kutoka maeneo mbali mbali nchini na kuleta dsm kwenye soko la Tandika

Nachoomba/taka kwenu, wazoefu wa hii biashara hasa mnao peleka soko la Tandale.. hebu nipen mawili matatu kuhusu pale na mfumo wa biashara ukoje pale, na biashara nzima kwa ujumla wake ilivyo

N.B. nafikiria kwenda pale ndan ya siku mbili tatu hv, kabla sijafanya hvyo ningependa kupata ushauri wa wajuzi/wazoefu
 
WEWE!, uko sawa ila nicheki pm nikupe no tuyajenge!
 
Mwaka huu kila mtu anakimbilia biashara ya mchele. Si mchezo vyuma vime tyt kweli kweli. Kama unaweza nunua FUSO Utapiga route za kutosha kusafirisha mazao.
 
Mwaka huu kila mtu anakimbilia biashara ya mchele. Si mchezo vyuma vime tyt kweli kweli. Kama unaweza nunua FUSO Utapiga route za kutosha kusafirisha mazao.
[emoji5] [emoji5] Ni zao linalotumika kwa wingi zaid kuliko mengine pengine.
 
samahani wadau Na hasa wenye uzoefu. bei ya gunia la maindi mpanda ni shilling ngapi Na jee kusafirisha hadi mkoa tarime inagarimu shilling ngapi?
 
Habari za harakati wadau wa jamii forum. Naomba kufahamu biashara ya mchele kutoka mikoani hasa shinyanga na mbeya kwenda jiji la dar es salaam, Masoko ya biashara yapo vipi na trick zote za uendeshaji wa biashara hii ziko vipi Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Nilikua naanza nikifanyia dar kutoka lupilo...changamoto nilizopata mbili

Kupata mzigo madalali tatizo

Kuuza mzigo watu Wa stoo shida

Msaada wazoefu

carnte himself
 
Nilikua naanza nikifanyia dar kutoka lupilo...changamoto nilizopata mbili

Kupata mzigo madalali tatizo

Kuuza mzigo watu Wa stoo shida

Msaada wazoefu

carnte himself
Nmeanza biashara ya mchele yapata miezi miwili sasa.nilichokigundua ni kwamba ni lazima utengeneze soko lako na sio kuwategemea madalali.na kufanya ivo ni rahisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom