ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
Nitauza kulingana na soko la mchele litakavyokua kwa kipindi hikoUkivuna utauzaje mchele kg 1?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitauza kulingana na soko la mchele litakavyokua kwa kipindi hikoUkivuna utauzaje mchele kg 1?
Akijibu nitagUnauzaje mahindi
[emoji5] [emoji5] Ni zao linalotumika kwa wingi zaid kuliko mengine pengine.Mwaka huu kila mtu anakimbilia biashara ya mchele. Si mchezo vyuma vime tyt kweli kweli. Kama unaweza nunua FUSO Utapiga route za kutosha kusafirisha mazao.
[emoji5] [emoji5] Ni zao linalotumika kwa wingi zaid kuliko mengine pengine
Kaka samahani nataka kuwasiliana na weweMkuu unampango wa kuanzia mkoa gani! Me nipo kwenye hiyo industry kitambo!
Karibu!
Nmeanza biashara ya mchele yapata miezi miwili sasa.nilichokigundua ni kwamba ni lazima utengeneze soko lako na sio kuwategemea madalali.na kufanya ivo ni rahisi tuNilikua naanza nikifanyia dar kutoka lupilo...changamoto nilizopata mbili
Kupata mzigo madalali tatizo
Kuuza mzigo watu Wa stoo shida
Msaada wazoefu
carnte himself