Wakuu habari za mida
Nimelea lea kabiashara kangu ka kwanza kamekua kua, nataka ongeza ya pili, nimekaa nikawaza na kuwazua wazo lililonijia n kufanya biashara ya kusafirisha mchele kutoka maeneo mbali mbali nchini na kuleta dsm kwenye soko la Tandika
Nachoomba/taka kwenu, wazoefu wa hii biashara hasa mnao peleka soko la Tandale.. hebu nipen mawili matatu kuhusu pale na mfumo wa biashara ukoje pale, na biashara nzima kwa ujumla wake ilivyo
N.B. nafikiria kwenda pale ndan ya siku mbili tatu hv, kabla sijafanya hvyo ningependa kupata ushauri wa wajuzi/wazoefu