Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

mkuu jua tofauti kati ya KUWASILISHA na KUWAKILISHA.hapa una WASILISHA na sio KUWAKILISHA
 
Labda niseme tu,Soko la mazao mfano Mchele linahitaji huwe na mitaji miwili,ni kiwa na maana kwamba Wanunuzi karibu wote wa mchele hasa Dar hawawez kukulipa Cash Pesa ,so kuepuka usumbufu lazima uwe na Stock na mtaji utaofaya mda wote uweza kukusanya Mzigo
 
Habari zenu wapendwa mim ni mgeni hapa wilaya ya mbozi nimefika hapa katika harakati za kutafuta maisha niko na mtaji kiasi kidogo hivi kama milion moja naomba mnipe mawazo nimewaza kuanza kufanya biashara ya nafaka nanunua vijijini na kuja kuuza town lakini sna uzoefu nipeni ushauri ni nifanye ili niweze kufanikiwa nina imani nikiwa na discipline hicho kidogo nilichonacho knaweza nitoa npeni ushauri.​
 
Nahitaji mawazo yenu ni muhimu xna kwangu
 
Naona watu wako kimya kumbuka ukinishaur unakua umetengeza ajira kwa watu wengi kwani mim nikifanikiwa ntasaidia wengine na kwa kuwaajiri
 
Reactions: m2u
Morogoro sehemu gani kaka
 
Nisaidie mawazo kwa mwenye uzoefu na biasha ya kuuza nafaka kam unga, mchele, ngano, karanga, ulezi, maharage na vingin ving. Angalau jinsi ya kuanza na changamoto zinazoweza kujitokeza
 
Hivi kwa anaefungua fremu la kuuza nafaka ni lazima awe na TIN pamoja na leseni ya biashara?
 
mh, hata kama mchele unatoka hapa hapa tz karatasi za tfda na afya zinahitajika?
Tatzo sio mchele unatoka wap,hawa wametubana sababu unauza chakula,so cheti cha afya unakipata na tfda lazima haina mjadala
 
Habari zenu wana jamvi.

Naomba ufafanuzi kidogo kwa watu waliowahi kuuza/wanaofanya biashara ya nafaka mkoani mwanza. Napenda kufahamu ni maeneo gani hasa wanatoa mchele, maharage, choroko, dengu, njugu na nafaka nyingine kama hizo kwa bei nafuu. Pia ningependa kujua ni masoko yapi hapa mwanza biashara ipo vizuri kuanzia soko la Buhongwa mpaka igoma eneo lipi ni zuri zaid. Na pia changamoto ya biashara hii.

Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…