NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu jua tofauti kati ya KUWASILISHA na KUWAKILISHA.hapa una WASILISHA na sio KUWAKILISHAWadau naomba ujuzi weno kwenye hi biashara, Je nikianza na shilingi milioni 5 itanitoa? Je kuna changamoto zipi nitarajie kukutana nazo.Binafsi napenda sana kujiajiri.Robert Kayosaki anasema kwenye kitabu chake cha poor dady & Rich dady ya kwmba a highly paid slave is still a slave.WanaJF naomba kuwakilisha Hoja.