Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah nmecheka sana maana nlikua najiuliza huyu jiwe n nani na ilkuaje baada ya sekunde nkakumbuka Dah aisee!!
 
Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha

Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
 
Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha

Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.

Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
“Ajira ni bora kuliko biashara kama hauna mtaji wa 100+”

Elezea hii.
 
Endeleeni kuponda na kutafta negative watu tupo barabaran tunayapeleka manyara.
Mtoa mada asante sana
Watz tuna ttzo always mtu hutafuta kikwazo na blah blah kibao mara gharama za mfuko, vibega, sijui ushuru n.k Yaan ukimueleza mtz fursa fulani atakupa sababu elfu za kukutisha usichukue hatua no matter uhalisia ukoje

Ambapo kwa hesabu za kijasi hizo sio gharama za kuogopa ikiwa hata gunia la kg 100 utanunua elfu 60 pigia na elfu 20 ya gharama zote kwa kila gunia lifike kwa mnunuzi kwa elfu 80 then ubakiwe na 20 kwa kila gunia hasara iko wapi? Na kiukweli kwa sasa kupata mahindi tani 10 sio jambo la kuchukua wiki moja

Hapo angalizo la muhimu na ambalo ni changamoto kuu ni kuwa na connection ya mteja basi usilogwe upeleke mzigo bila kuwa na mteja kwanza the rest ni sawa na kumsukuma mlevi
 
Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha

Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.

Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
Aliekuajiri angekuwa na mtazamo kama wako unadhani leo ungekuwa na jeuri ya kusema ajira ni bora kuliko biashara?
 
Lakini pia najiuliza inakuaje singida mahindi yawe bei rahisi kuliko manyara ikiwa manyara ndo hulima zaidi mahindi?

Yani huo ni uongo uliopitiliza..manyara mahindi yawe juu kuliko singida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Kweli Dunia inazunguka mimi nilizani Mtama, mahindi singida zaidi ya manyara? anyways ni fursa nzuri. singida to manyara ni Km ngapi? diference ya bei ni kubwa...
 
Back
Top Bottom