[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hesabu za kwenye makaratasi...Zilimponza jiwe akavamia Korosho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shauri yako, kesho ujiandae uende "waiti hausi" kuapologize
Kwanin mkuu[emoji124][emoji124]Mahindi sikushauri
Piga pesa mkuuu...!! Mara paap umefika bei imeshukaa...Endeleeni kuponda na kutafta negative watu tupo barabaran tunayapeleka manyara.
Mtoa mada asante sana
“Ajira ni bora kuliko biashara kama hauna mtaji wa 100+”Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha
Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.
Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
Watz tuna ttzo always mtu hutafuta kikwazo na blah blah kibao mara gharama za mfuko, vibega, sijui ushuru n.k Yaan ukimueleza mtz fursa fulani atakupa sababu elfu za kukutisha usichukue hatua no matter uhalisia ukojeEndeleeni kuponda na kutafta negative watu tupo barabaran tunayapeleka manyara.
Mtoa mada asante sana
Aliekuajiri angekuwa na mtazamo kama wako unadhani leo ungekuwa na jeuri ya kusema ajira ni bora kuliko biashara?Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha
Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.
Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
Lakini pia najiuliza inakuaje singida mahindi yawe bei rahisi kuliko manyara ikiwa manyara ndo hulima zaidi mahindi?
Tatizo lenu mnadanganywa na takwimu za kiuchumi vitabuni kuwa Singida ipo nyuma kimaendeleo!Singida ni Mkoa unajitosheleza mzee ,huku mahindi tunalisha nguruwe!Lakini pia najiuliza inakuaje singida mahindi yawe bei rahisi kuliko manyara ikiwa manyara ndo hulima zaidi mahindi?