Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Mkuu wafanyabiashara wengi wametoboa kwa kuanza na mtaji mdogo sana kinachotakiwa ni taarifa sahihi ya unachotaka kukifanya basi...ingekua wote wana mawazo kama yako wasingefanya biashara 100+ unaiona nyingi ila zipo biashara zingine hiyo ni chenji huwezi kuifanya kwa mahindi na ndani au mpunga kiasi chochote mtu anafanya acheni kutishana mtaji wakati cha msingi kwenye biashara ya ndani ya Nchi ni taarifa sahihi za soko...
 
Umewezaje kufika huko mkuu Ikiwa mind yako tu inaonekana si ya kibiashara? Wew.ulianza na 100mil kufika hapo ulipo? Unaielezaje dhana ya kukua kibiashara? Na unajuaje kuwa biashara inakua?
 
Sema baba! Yes tusiwe tunapuuza fursa kwanza hapa tunapeana taarifa, ikiwa ndo mhimu kuliko, Then itageuka fursa kwa wale watakaolifanyia upembuzi na kuchukua hatua panapowezekana
 
well said....week hii nmeshnda ndani nawaza kuhusu hii biashara mpaka kichwa kinaniuma yaan nashndwa kuamua niifanye au ntafute biashara nyngne??
 
Kama dogo anajitambua atapiga hatua! Wa kwangu akinikatisha tamaa baada ya kumpa kila nyenzo ya uvuvi akaishia kuoa kijiji kizima kasoro ndugu zake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliamua kuweka heshima bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…