Pole sana mkuu, ndio maisha yetu hapa dunianSimshauri mtu afanye ivo kamwe,,
Nimekua mhanga WA hilo
Mkuu weka wazi, kiasi, na Namba yake ya simu. Nchi ndogo hii unaweza kukuta tunamfahamu tukasaidia kumpata.Uaminifu siku hizi watu wanauongelea mdomoni tu,,lakini myoni ni kitu kingine kabisa
Nauza mafuta ya Alizeti kwa anayetaka aje pm kiasi chochote unachotaka.
Mkuu nqmaindi Songea nauza kilo 800 kama ukihitaji nalima mwenyewe ..na yako safii...0653325710.. Wattsap
Bei ikoje?
Uko sh ngap sahiv mkuu umenikumbusha mbali sana ifakara mtimbila malinyiMkuu niko Morogoro Malinyi ,unaweza nisaidia kupata soko la mchele Dar ,na kwa Sasa bei ya mchele kwa kilo moja kwa shiling ngapi?
MWANDENDEULE,
Mkuu kwa mawazo hayo kufanikiwa basi kila mtu anajion kwa jicho lake..si kweli kuwa ukitaka kutoboa uwe na hiyo capital ya kuanzia 100m..ukiidharau 100 basi hata hyo 100m haitakusaidia kituBro kama hujawahi hustle na vi business vya kitaa huwezi nielewa au unaweza sema siko serious na life.
I’ve done pass all that..as i speak nina biz kubwa tu tena ya wholesale..
Biashara zina mambo mengi sana, Kwa mtu anayetaka kutoboa in a big way mimi kama
mimi binafsi nashauri atafute capital atleast isiyopungua 100+ million (Thats if mtu huyo ana plan kufanya any type of trading biz)
Kwa capital hyo any trading biz lazima utatoboa..ila sijui una 5M au 10 M utapata hela ndio ila ya kubadili mboga tu.
Ila kama nina elimu yangu nzuri average salary nipate between 1 M to 3M au mpaka 5M kwa mwezi nibora niajiriwe kwa atleast 3 years ni make hela then nizame kitaa na capital.
Maana yake kama hela huna possibly likely hata collateral mtu hana. Ya dig ??
Kamwe Singida mahindi hayawezi kuuzwa bei hiyo, unadanganya watuBei ya mahindi leo. Singida gunia la kilo 100 linauzwa 54000.
Arusha au manyara gunia hilo hilo linauzwa 100,000.
Nikichukua gunia 100 za mahindi singida nitatoa 5.4M. Usafirishaji kwa gunia moja ni 5000 hadi manyara. Kwa gunia 100 nitalipa 500,000 usafiri. Hapo sasa natakiwa kuwa na 5.9M
Nikienda kuuza gunia 100 manyara kwa bei ya 100,000 kila gunia nitapata jumla ya 10M. Nikitoa gharama za usafirishaji na hela ya mtaji nitabakiwa na jumla ya shilingi 4.1M.
Net profit hapa ni 4.1M.
Kazi hii naweza kuifanya ndani ya wiki moja kuanzia kukusanya magunia singida hadi kuyapeleka kuyauza manyara.
................................................................
Oya mwenye 5.9M ya haraka hapo aingie chimbo akapige hiyo hela. Faida ya milioni 4 ndani ya wiki moja sio hela kidogo. Hii ishu ni uhakika, hata kama hutapata hiyo 4M huwezi kukosa hata 2M.
Ngoja niendelee kujichanga kamtaji kakue nikapige hiyo hela.
Jioni njema.
Umetiki by 100% mkuu!Huu mkeka ulitiki?
Nilishangaa anaongelea mahindi gani. Yani Singida mahindi yawe cheap kuliko Manyara!Kamwe Singida mahindi hayawezi kuuzwa bei hiyo, unadanganya watu
... ni hatari kufanya hivyo Mkuu. Huko mbeleni TRA hawakawii kukuvamia na kutaifisha.
Kwahiyo tuendelee kubana kende hao nzige waishie kwa majirani hapo hapo?
Unaweza - just like anything in life....,Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Vipi mwaka huu? Kama msimu uliopita kulikuwa na upungufu kiasi wa mahindi, vipi mwaka huu?Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Umetiki by 100% mkuu!