Mkuu "Chasha Poultry Farm" nimekuwa nikifatilia comments zako nyingi kwenye threads tofauti kwa kweli una mitazamo ya tofauti, kisomi na kimapinduzi zaidi kwenye tasnia nzima ya ujasiriamili na biashara Tanzania, binafsi nimekuwa insipired sana na miongozo yako mbalimbali, Mungu akubariki.
Value addition is very important in every things we do as entrepreneur and business men, watanzania umefika wakati tutoke kwenye mbinu za ujima za kibiashara. Mkuu big up sana
Nipo kwenye ajira kwa sasa, ila for sure I'm not happy being employed, this two years of employment are more than enough, anytime soon naenda kujiajiri coz I can see and feel niko na spirit ya ajabu in entrepreneurship and business, my business idea ni kuwa supplier wa food staffs kwenye big hotels and supemarkets in town ndio maana point yako ya value addition imenigusa sana na malengo makuu ni oneday kumiliki viwanda vya kuchakata na kusindika mazao mbalimbali ya majini na nchi kavu for export purpose.
I do believe oneday nitaleta mrejesho wa mafanikio makubwa kwenye hili, mungu awabariki wana JF wote.
AMEN