Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Changamoto yake kubwa ni urasimu wa Serikali
Nilipata Dili flani la kupeleka Mzigo Mwingi tu Commoro nikakusanya Nguvu za Jamaa zangu Kama wawili tukakusanya Mtaji wetu mdogo tu Kama 20 Million.

Tukashauriwa Tufuate Vibali halali

Tu kaanza kuelekezwa tuanze board of external Trade, huko ikapigwa Danadana twende Chamber of Commerce kule wakatueleza kazi yao ni kutoa Vibali tu tukitaka kujua kitu gani kinaruhusiwa kipi hakiruhusiwi twende Wizara ya Mifugo au Kilimo ndio wenye orodha ya Mazao yanayoruhusiwa kusafirishwa Nje ya Nchi!

Niliwauliza wale Watu wa Chamber of commerce pale Kwny Barabara ya Morogoro na Samora ( PPF House) kwanini hiyo orodha ya vitu vinavyoruhusiwa kwanini wasikae nayo pale kupunguza Urasimu Jibu wanatoa huo ndio utaratibu 'Mzee usilete Ujuaji fuata taratibu'

Tulipofika Wizara ya Kilimo ndio balaaa Urasimu mpaka tukaamue tusafirishe kienyeji
Incomptent people ndyo kiini cha sekta ya,uwekezaji kwa wazawa kudoda.

Hpo angekuwa mzungu ungeona jinsi wanavyopigana vikumbo hpo ofsini kuhakikisha anapata vibali haraka sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeusoma huu uzi nikakosa raha kabisa. Wadau kama kuna mtu mwenye uzoefu ambaye anaweza kupangilia mambo angalau hili suala likafika kwa wahusikia kwa uzito unaotakiwa tutakuwa tumesaidia wengi, lakini kulalamika tu hakuna faida yoyote. #RAISMAGUFULIUJEHAPAKWENYEHUUUZI.
 
Pitia tovuti ya TANTRADE kupata muongo wa kuexport na kila kitu unachotaka kujua kuhusu ku export na kujua tanzania inesain mikataba ya freetrade mataifa gani unapia tumia websiti ya IMPORTERHUB.COM kupata buyer kutoka sehemu mbalimbal dunian wengi wa buyers ni ukweli wapo taray kununua ilimradi ufikie viwango vya QUALITY na QUANTITY zake... Napia tanzania kuna mazao mengi ya kuexport kama karanga,maindi,soya,ufuta,ndizi,mchele,alizeti,ngaono etc. fata sheria lipa kodi pata vibali kutoka malaka sinazo husika.
Kama umesoma vizuri wachangiajin wengi wamelalamikia process ya upatikanaji wa vibali.
 
Huu uzi ulikuwa mzuri sana lakini hakuna hitimisho lililofanyika kurahisisha usafirishaji wa mazao nje ya nchi. Kama kuna mtu alifanikiwa tafadhali atueleze ni hatua zipi alipitia.
Kama umesoma vizuri, wote waliojaribu kufuata njia halali waliishia kutumia njia za panya baada ya kuwa wamwzungushwa sana na mamlaka husika.
 
Kama umesoma vizuri, wote waliojaribu kufuata njia halali waliishia kutumia njia za panya baada ya kuwa wamwzungushwa sana na mamlaka husika.
Na ndio maana bidhaa zetu zinaishia jirani na wao wanatumia fursa kupeleka nje huku wakigonga nembo za nchi yao na kupata $ huku mtz akiambulia chenji za kwetu mpakani

Sent from my SM using Tapatalk
 
Y
Na ndio maana bidhaa zetu zinaishia jirani na wao wanatumia fursa kupeleka nje huku wakigonga nembo za nchi yao na kupata $ huku mtz akiambulia chenji za kwetu mpakani

Sent from my SM using Tapatalk
Inatia hasira sana. Hii sekta inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pili.
 
Changamoto yake kubwa ni urasimu wa Serikali
Nilipata Dili flani la kupeleka Mzigo Mwingi tu Commoro nikakusanya Nguvu za Jamaa zangu Kama wawili tukakusanya Mtaji wetu mdogo tu Kama 20 Million.

Tukashauriwa Tufuate Vibali halali

Tu kaanza kuelekezwa tuanze board of external Trade, huko ikapigwa Danadana twende Chamber of Commerce kule wakatueleza kazi yao ni kutoa Vibali tu tukitaka kujua kitu gani kinaruhusiwa kipi hakiruhusiwi twende Wizara ya Mifugo au Kilimo ndio wenye orodha ya Mazao yanayoruhusiwa kusafirishwa Nje ya Nchi!

Niliwauliza wale Watu wa Chamber of commerce pale Kwny Barabara ya Morogoro na Samora ( PPF House) kwanini hiyo orodha ya vitu vinavyoruhusiwa kwanini wasikae nayo pale kupunguza Urasimu Jibu wanatoa huo ndio utaratibu 'Mzee usilete Ujuaji fuata taratibu'

Tulipofika Wizara ya Kilimo ndio balaaa Urasimu mpaka tukaamue tusafirishe kienyeji

Poleni na hongereni kwa kusafirisha kienyeji. Halafu lijamaa linataka lisifiwe kila siku
 
Nimesoma yoote kwa umakini na yaliyojadiliwa mpaka sasa ni ukweli mtupu! Khs changamoto ya CHAMBER OF COMMERCE, TANTRADE, TFDA, TBS, TRA, WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO mlolongo unaendelea hivyo.

Mimi binafsi ni mfano ulio hai kwenye hili kazi ya kwanza ilikua ya matunda na mbogamboga kwenda arabuni,kazi ya pili ilikua mbuzi hai na ngombe, the list goes on and on.

lakini sasa tuwaache hao maana kuna habari ya kibanzi na boriti, Changamoto kubwa ipo kwetu sisi wakulima na wafugaji pengine na wafanyabiashara asilimia kubwa tunashindwa kupeleka bidhaa kwenye haya masoko kushindana na majirani zetu juu ya CONSISTENCE, JE UNAWEZA KUSUPPLY BIDHAA YAKO MFULULIZO KWA MWAKA MZIMA KWA UBORA HUO HUO NA KWA UJAZO HUO HUO? asilimia kubwa hili swali likija ni chali.

Serikali inalijua hili la hizi taasisi,wanajitahidi kulifanyia kazi lakini embu pia na sisi tufanyie kazi hili la hapo juu ninaamini tupo karibu kufika nchi ya ahadi
 
Hello, any updates kuhusu hii biashara?
Una access ya haya mazao kwa wingi?
Nipo China ninafuatilia pia hii biashara ya kutoa bidhaa huko Tanzania kuleta huku

Mkuu kwa sasa sio msimu wake ila tunaweza kufanya jambo kwa pamoja
 
Nimesoma yoote kwa umakini na yaliyojadiliwa mpaka sasa ni ukweli mtupu!!!!!!!! khs changamoto ya CHAMBER OF COMMERCE ,TANTRADE,TFDA,TBS,TRA,WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO mlolongo unaendelea hivyo...

Mimi binafsi ni mfano ulio hai kwenye hili kazi ya kwanza ilikua ya matunda na mbogamboga kwenda arabuni,kazi ya pili ilikua mbuzi hai na ngombe,the list goes on and on.....

lakini sasa tuwaache hao maana kuna habari ya kibanzi na boriti, Changamoto kubwa ipo kwetu sisi wakulima na wafugaji pengine na wafanyabiashara asilimia kubwa tunashindwa kupeleka bidhaa kwenye haya masoko kushindana na majirani zetu juu ya CONSISTENCE, JE UNAWEZA KUSUPPLY BIDHAA YAKO MFULULIZO KWA MWAKA MZIMA KWA UBORA HUO HUO NA KWA UJAZO HUO HUO? asilimia kubwa hili swali likija ni chali.

Serikali inalijua hili la hizi taasisi,wanajitahidi kulifanyia kazi lakini embu pia na sisi tufanyie kazi hili la hapo juu ninaamini tupo karibu kufika nchi ya ahadi
Mkuu kuendeleza kutoa mazao msimu wote inategemea na kujituma kwako
Hata wanaouza hizi bidhaa wanakuwa na bidhaa nyingi tu
Kama wewe ni supplier wa nyanya au pilipili ni lazima uwe unajua utazipata kwa wingi na kwa mda
Ila sasa changamoto zinakuja kuutoa mzigo kwa wakati na kwa ubora

Hata masoko ya nje yana mambo mengi sana kuna wanaokuambia mzigo siku 3 baada ya kutoa order
Inataka kujituma hasa na wengi hawawezi na mwisho wake itakuwa lawama tu na hao unao wapelekea

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huu ndio urasimu tunaoongelea

Ukiangalia Sharti no. 4 na namba 8 utajua kabisa si Sharti la Kibiashara!

Inaonekana Kibali kinachotolewa sio cha biashara ni cha kuvusha Mazao wao wanaita cha Biashara!

Nitaje aina ya Zao na kiwango ninachotaka kusafirishwa Ina maana nikishapata kibali cha Machungwa nikapewa taarifa kuwa soko la Machungwa lime change lete Mananasi maana yake nikaombe kibali upya? Tunaanda sera na taratibu kijamaa kwny soko huria

Ukitaka kupeleka Mzigo Mara ya pili unaandika report then unaomba Tena kibali [emoji12][emoji12][emoji12] hii sio Biashara BAKITA watohoe jina
Sasa hujui kama kila zao lina taratibu zake tofauti? Hutaki kueleza ni zao gani unasafirisha utajuaje kodi au taratibu za kufuata ili kupata kibali?

Mahindi na maembe yanaendana?
Unaonekana hata biashara za kimataifa huna uwezo nazo.
 
Nimesoma yoote kwa umakini na yaliyojadiliwa mpaka sasa ni ukweli mtupu! Khs changamoto ya CHAMBER OF COMMERCE, TANTRADE, TFDA, TBS, TRA, WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO mlolongo unaendelea hivyo.

Mimi binafsi ni mfano ulio hai kwenye hili kazi ya kwanza ilikua ya matunda na mbogamboga kwenda arabuni,kazi ya pili ilikua mbuzi hai na ngombe, the list goes on and on.

lakini sasa tuwaache hao maana kuna habari ya kibanzi na boriti, Changamoto kubwa ipo kwetu sisi wakulima na wafugaji pengine na wafanyabiashara asilimia kubwa tunashindwa kupeleka bidhaa kwenye haya masoko kushindana na majirani zetu juu ya CONSISTENCE, JE UNAWEZA KUSUPPLY BIDHAA YAKO MFULULIZO KWA MWAKA MZIMA KWA UBORA HUO HUO NA KWA UJAZO HUO HUO? asilimia kubwa hili swali likija ni chali.

Serikali inalijua hili la hizi taasisi,wanajitahidi kulifanyia kazi lakini embu pia na sisi tufanyie kazi hili la hapo juu ninaamini tupo karibu kufika nchi ya ahadi
Hapo kwenye red umeongea kweli na kweli naamini wewe ni mtu unaeongea unachokijua tofauti na wengi humu hata million moja mifukoni hana.

Kwenye hilo suala la kua na sustainability ya kuweza kusupply mzigo kwa reliable quality and quantity kwa whole year ndio wengi kinawafelisha, mtu anafikiri masoko ya ulimwengu wa kwanza huko wanafanya biashara kama sisi huku leo unabeba ndizi kupeleka sokoni kesho kutwa unaingia kwenye utumbuaji wa faida, ndizi ukuone tena baada ya faida kuisha mfukoni, kwenye nchi za mbele akikupa tenda ya kumuuzia bidhaa lazima uhakikishe ni muda wote bila kutetereka.
 
Habari za mchana huu wanajamvi, bila kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye point. Nimefikiria kufanya biashara ya nafaka lakini lengo ni kwenda kuuza nchi za jirani ila sijajua utaratibu upo vipi.

Kwa hiyo yeyote mwenye uzoefu juu ya biashara za kuvuka mipaka naomba anipe msaada wa kujua hasa nini mahitaji ya safari hiyo. Naskia lazima uwe na kibali cha kusafirishia lakini hata hiko kibali sijui kinapatikana vipi.

Kama kuna mahitaji mengine tofauti na kibali wajuzi naomba mnijuze, halafu kitu kingine ninachotaka kufahamu ni je, ukishaingiza kwenye ile nchi husika biashara unakomaa nayo mwenyewe au unatumia madalali?

Asanteni, naomba kuwasilisha.
 
Goja wajuzi wa hizi mambo waje watujuze maana ni wengi tuna future za kufanya Biashara za kusafirisha Nafaka Nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom