Asante sana kabombe, wewe umewahi kusafirisha aina gani ya Nafaka nje ya nchi?Lazima uwe na mteja nje ya nchi.hakikisha pesa imeingia katika akaunti yako ndio utoe shehena,sina uhakika kama mahindi bado ni marufuku kuuza nje,mengine huhutaju kibali.onana na clearing ajent atakusaidia kutengeneza nyaraka
Zote mkuu hadi korosho na karanga.Asante sana kabombe, wewe umewahi kusafirisha aina gani ya Nafaka nje ya nchi?
EXPORT REQUIREMENT/ATTACHMENT:Habari ndugu zangu, haja Yang kubwa hapa ni kujua ni kwa namna gain naweza nikaexport Nafaka nje nchi kama mchele, maharage, Mahindi n.k ikiwa kuna mtu anaexport Nafaka kibiashara naomba tupeane ujuzi hapa JF kwa faida ya wengi, ili tupate kujua ni utaratibu gani ufatwe na vibali vinavyoitajika.
nina ufuta gunia kama 10 hivi, unanunua kilo shilingi ngapiNatafuta ufuta mweupe na kahawa kama uwezo unao inbox
Asante sana Von Mo, hapa sasa nimepata mwanga wapi pa kuanzia, je kampuni gani ya freight forwarder unayoijua iko vizuri isiyo Kuwa na longolongo? Vipi kuhusu kupata export permit wizarani inachukua muda gani?EXPORT REQUIREMENT/ATTACHMENT:
1.TANSAD-TANZANIA SINGLE ADMINISTRATIVE DOCUMENT(to be done by your agent)
2.shipping order( from shipping line to be done by agent)
3.Invoice (to be submitted by client/Customer)
4.Payment to Ministry of Agriculture and food security(to be done by Agent, cost range from 20,000-100,000)
5.Export permit from Ministry of Agriculture specifying the tonnes/kgs to be exported( The application is done by client/customer to Ministry)
6.Radiation Certificate (Atomic Energy Certificate) from Tume ya Mionzi (To be done by client/customer) this control quality of food
First step you need to consult your Agent(CFA)
Mdogomdogo-Qchief.
Safi sana, vipi bado una export hadi sasa? Ulikuwa unapeleka wapi? Ulikuwa unatumia njia gani ya malipo?Zote mkuu hadi korosho na karanga
Mkuu masoko ni india,pakistan kenya kutegemea aina mazao na msimu.pendelea mteja aje kwanza au atume muwakilishi.pendeleakutumia TT asikuchuuze ukakubali LCSafi sana, vipi bado una export hadi sasa? Ulikuwa unapeleka wapi? Ulikuwa unatumia njia gani ya malipo?
Ufuta nenda kondoa,kahawa nenda mbinga.kahawa utahitaji msuli wa kifedha labda uwe mtu wa kati kanunue kiwandani mbingaNatafuta ufuta mweupe na kahawa kama uwezo unao inbox
unataka maharage ya kutoka mkoa gani nikueleteehakuna anayenunua maharage humu?
very simple:unataka maharage ya kutoka mkoa gani nikueletee
mkuu nami nilikuwa na wazo kma la huyo mtoa mada nataka kusaifirisha na kuuza ASALI yangu nje ya nchi nifanyaje?
Mimi nataka kuuza maharage. Yale ya njano.. Yanatoka bukoba..unataka maharage ya kutoka mkoa gani nikueletee
mkuu nami nilikuwa na wazo kma la huyo mtoa mada nataka kusaifirisha na kuuza ASALI yangu nje ya nchi nifanyaje?
Asante sana kwa mawazo mazuri, ila kwa uelewa wangu Mimi Naona LC ndiyo safe zaidi Katka international trade coz ina guarantee payment kwa muuzaji, ebu tueleweshe vizuri kati ya TT na LC ndugu!!!Mkuu masoko ni india,pakistan kenya kutegemea aina mazao na msimu.pendelea mteja aje kwanza au atume muwakilishi.pendeleakutumia TT asikuchuuze ukakubali LC
Ndugu Von Mo hicho kipengele cha Tatu cha leseni ya biashara ni applicable hata mazao ya chakula? Naomba ufafanuzi hapo!!very simple:
naamini una mteja nje ya nje tayari:
Hapo unatakiwa ufanye yafuatayo,
mpeleke Agent/wakala wa forodha akufanyie Export, wewe andaa yafuatayo:
1.Invoce
2.Export permit from Ministry of Natural Resources and Tourism( cost range from 100,000-200,000)
3.Leseni ya kudeal na hiyo Business
4.Atomic Energy( Asali ni Chakula na Mionzi wapo kwa ajili ya kuhakikisha vyakula bora vinakwenda nje)
5.Ktk yote You have to sign a contract na CFA(agent) through Authorization letter kujulisha forodha kwamba mumekubaliana huyo wakala afanye kazi hiyo ya export.
Mdogomdogo-Q Chilla( listening music)
hapanaNdugu Von Mo hicho kipengele cha Tatu cha leseni ya biashara ni applicable hata mazao ya chakula? Naomba ufafanuzi hapo!!
Asante Von Mohapana
Maharage yako yanatokea wapi?ya mwaka gani? Unauzaje kwa kilo? Una tani ngapi?hakuna anayenunua maharage humu?
Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advanceAsante sana kwa mawazo mazuri, ila kwa uelewa wangu Mimi Naona LC ndiyo safe zaidi Katka international trade coz ina guarantee payment kwa muuzaji, ebu tueleweshe vizuri kati ya TT na LC ndugu!!!