Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Lazima uwe na mteja nje ya nchi.hakikisha pesa imeingia katika akaunti yako ndio utoe shehena,sina uhakika kama mahindi bado ni marufuku kuuza nje,mengine huhutaju kibali.onana na clearing ajent atakusaidia kutengeneza nyaraka
Asante sana kabombe, wewe umewahi kusafirisha aina gani ya Nafaka nje ya nchi?
 
Habari ndugu zangu, haja Yang kubwa hapa ni kujua ni kwa namna gain naweza nikaexport Nafaka nje nchi kama mchele, maharage, Mahindi n.k ikiwa kuna mtu anaexport Nafaka kibiashara naomba tupeane ujuzi hapa JF kwa faida ya wengi, ili tupate kujua ni utaratibu gani ufatwe na vibali vinavyoitajika.
EXPORT REQUIREMENT/ATTACHMENT:
1.TANSAD-TANZANIA SINGLE ADMINISTRATIVE DOCUMENT(to be done by your agent)
2.shipping order( from shipping line to be done by agent)
3.Invoice (to be submitted by client/Customer)
4.Payment to Ministry of Agriculture and food security(to be done by Agent, cost range from 20,000-100,000)
5.Export permit from Ministry of Agriculture specifying the tonnes/kgs to be exported( The application is done by client/customer to Ministry)
6.Radiation Certificate (Atomic Energy Certificate) from Tume ya Mionzi (To be done by client/customer) this control quality of food
First step you need to consult your Agent(CFA)

Mdogomdogo-Qchief.
 
Asante sana Von Mo, hapa sasa nimepata mwanga wapi pa kuanzia, je kampuni gani ya freight forwarder unayoijua iko vizuri isiyo Kuwa na longolongo? Vipi kuhusu kupata export permit wizarani inachukua muda gani?
 
Natafuta ufuta mweupe na kahawa kama uwezo unao inbox
Ufuta nenda kondoa,kahawa nenda mbinga.kahawa utahitaji msuli wa kifedha labda uwe mtu wa kati kanunue kiwandani mbinga
 
nami nilikuwa na wazo kama lako mkuu la kusaifirisha asali kupeleka nje ya nchi pls mwenye kunisaidia hapa
 
hakuna anayenunua maharage humu?
unataka maharage ya kutoka mkoa gani nikueletee

mkuu nami nilikuwa na wazo kma la huyo mtoa mada nataka kusaifirisha na kuuza ASALI yangu nje ya nchi nifanyaje?
 
very simple:
naamini una mteja nje ya nje tayari:
Hapo unatakiwa ufanye yafuatayo,
mpeleke Agent/wakala wa forodha akufanyie Export, wewe andaa yafuatayo:
1.Invoce
2.Export permit from Ministry of Natural Resources and Tourism( cost range from 100,000-200,000)
3.Leseni ya kudeal na hiyo Business
4.Atomic Energy( Asali ni Chakula na Mionzi wapo kwa ajili ya kuhakikisha vyakula bora vinakwenda nje)
5.Ktk yote You have to sign a contract na CFA(agent) through Authorization letter kujulisha forodha kwamba mumekubaliana huyo wakala afanye kazi hiyo ya export.

Mdogomdogo-Q Chilla( listening music)
 
Mimi nataka kuuza maharage. Yale ya njano.. Yanatoka bukoba..
 
Mkuu masoko ni india,pakistan kenya kutegemea aina mazao na msimu.pendelea mteja aje kwanza au atume muwakilishi.pendeleakutumia TT asikuchuuze ukakubali LC
Asante sana kwa mawazo mazuri, ila kwa uelewa wangu Mimi Naona LC ndiyo safe zaidi Katka international trade coz ina guarantee payment kwa muuzaji, ebu tueleweshe vizuri kati ya TT na LC ndugu!!!
 
very simple:
naamini una mteja nje ya nje tayari:
Hapo unatakiwa ufanye yafuatayo,
mpeleke Agent/wakala wa forodha akufanyie Export, wewe andaa yafuatayo:
1.Invoce
2.Export permit from Ministry of Natural Resources and Tourism( cost range from 100,000-200,000)
3.Leseni ya kudeal na hiyo Business
4.Atomic Energy( Asali ni Chakula na Mionzi wapo kwa ajili ya kuhakikisha vyakula bora vinakwenda nje)
5.Ktk yote You have to sign a contract na CFA(agent) through Authorization letter kujulisha forodha kwamba mumekubaliana huyo wakala afanye kazi hiyo ya export.

Mdogomdogo-Q Chilla( listening music)
Ndugu Von Mo hicho kipengele cha Tatu cha leseni ya biashara ni applicable hata mazao ya chakula? Naomba ufafanuzi hapo!!
 
Asante sana kwa mawazo mazuri, ila kwa uelewa wangu Mimi Naona LC ndiyo safe zaidi Katka international trade coz ina guarantee payment kwa muuzaji, ebu tueleweshe vizuri kati ya TT na LC ndugu!!!
Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advance
 
Back
Top Bottom