OK kabombe asante kwa mchango wako, katka hilo nitalizingatia sana.Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advance
Maharage yanatoka bukoba.. Ni ya mwishoni mwa mwaka jana.. Nakuuzia 1850/- per kilo.. Wewe unataka tani ngapi? Ninazo za kutoshaMaharage yako yanatokea wapi?ya mwaka gani? Unauzaje kwa kilo? Una tani ngapi?
EXPORT REQUIREMENT/ATTACHMENT:
1.TANSAD-TANZANIA SINGLE ADMINISTRATIVE DOCUMENT(to be done by your agent)
2.shipping order( from shipping line to be done by agent)
3.Invoice (to be submitted by client/Customer)
4.Payment to Ministry of Agriculture and food security(to be done by Agent, cost range from 20,000-100,000)
5.Export permit from Ministry of Agriculture specifying the tonnes/kgs to be exported( The application is done by client/customer to Ministry)
6.Radiation Certificate (Atomic Energy Certificate) from Tume ya Mionzi (To be done by client/customer) this control quality of food
First step you need to consult your Agent(CFA)
Mdogomdogo-Qchief.
nina ufuta gunia kama 10 hivi, unanunua kilo shilingi ngapi
Asili ya tz ina tatizo kubwa la viwango vikubwa vya residues za pesticides, hasa ile inatoka Tabora kwa sababu mizinga mingi iko karibia na mashamba ya tumbaku wanatumia madawa mengi sananami nilikuwa na wazo kama lako mkuu la kusaifirisha asali kupeleka nje ya nchi pls mwenye kunisaidia hapa
kwa hiyo unahitaji uletewe au unatakaje mkuu maana sijakuelewa ndugu fafanua zaidiMimi nataka kuuza maharage. Yale ya njano.. Yanatoka bukoba..
Nipe price yako per kg FOB dsm port
Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advance
Nawe utapelekaje mzigo bila pesa je ukitapeliwa? Dawa ni kumwambia atume muwakilishi hata kama mtachangia gharamaKabombe, TT inakuwaje? Je, mteja hawezi kuwa na wasiwasi kwamba uta ila hela yake, kwa sababu hana guarantee yoyote kwamba utatuma mzigo. Haswa kama ndio mara ya kwanza mna anza biashara... utamshawishije ili aku amini?
Nawe utapelekaje mzigo bila pesa je ukitapeliwa? Dawa ni kumwambia atume muwakilishi hata kama mtachangia gharama
Ndio maana kuna vitu kama LC, lakini mnunuzi na muuzaji wote wana some kind of resistance na hii facility... labda kwa sababu ya longo longo mingi za kibenki, pamoja na aina nyingi za LC yenyewe.
Ulichoki suggest ni nadharia nzuri pia, ila sijui kama kinafanyika kwa kawaida..