Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advance
OK kabombe asante kwa mchango wako, katka hilo nitalizingatia sana.
 
Maharage yako yanatokea wapi?ya mwaka gani? Unauzaje kwa kilo? Una tani ngapi?
Maharage yanatoka bukoba.. Ni ya mwishoni mwa mwaka jana.. Nakuuzia 1850/- per kilo.. Wewe unataka tani ngapi? Ninazo za kutosha
 
EXPORT REQUIREMENT/ATTACHMENT:
1.TANSAD-TANZANIA SINGLE ADMINISTRATIVE DOCUMENT(to be done by your agent)
2.shipping order( from shipping line to be done by agent)
3.Invoice (to be submitted by client/Customer)
4.Payment to Ministry of Agriculture and food security(to be done by Agent, cost range from 20,000-100,000)
5.Export permit from Ministry of Agriculture specifying the tonnes/kgs to be exported( The application is done by client/customer to Ministry)
6.Radiation Certificate (Atomic Energy Certificate) from Tume ya Mionzi (To be done by client/customer) this control quality of food
First step you need to consult your Agent(CFA)

Mdogomdogo-Qchief.

Safi sana kiongozi. Haya malipo kwa Wizara husika 20, 000-100,000 ni kwa tani au aina ya zao uhusika?
 
nami nilikuwa na wazo kama lako mkuu la kusaifirisha asali kupeleka nje ya nchi pls mwenye kunisaidia hapa
Asili ya tz ina tatizo kubwa la viwango vikubwa vya residues za pesticides, hasa ile inatoka Tabora kwa sababu mizinga mingi iko karibia na mashamba ya tumbaku wanatumia madawa mengi sana
 
Naomba recommendation ya any reliable freight forwarder kwa hapa dar.
 
Lc linabuma,unaweza kuambiwa mzigo umeoza au una mionzi.kama mteja anataka lc,mwambie akupe Irrevocable,confirmed Lc,100%payable at sight"kama atakupa hiyo fanya biashara bila hofu vinginevyo TT in advance

Kabombe, TT inakuwaje? Je, mteja hawezi kuwa na wasiwasi kwamba uta ila hela yake, kwa sababu hana guarantee yoyote kwamba utatuma mzigo. Haswa kama ndio mara ya kwanza mna anza biashara... utamshawishije ili aku amini?
 
Nawe utapelekaje mzigo bila pesa je ukitapeliwa? Dawa ni kumwambia atume muwakilishi hata kama mtachangia gharama
 
Nawe utapelekaje mzigo bila pesa je ukitapeliwa? Dawa ni kumwambia atume muwakilishi hata kama mtachangia gharama

Ndio maana kuna vitu kama LC, lakini mnunuzi na muuzaji wote wana some kind of resistance na hii facility... labda kwa sababu ya longo longo mingi za kibenki, pamoja na aina nyingi za LC yenyewe.

Ulichoki suggest ni nadharia nzuri pia, ila sijui kama kinafanyika kwa kawaida..
 
Tupe data mkuu

Toa darasa hapa kwano hii mada inanfanywa kuwa siri kwa wachache waliofanikiwa matokeo yake ni kuwa biashara yetu kimataifa ni ndogo badala ya kuinuana ili tuuze nje kwa wingi
 
Hapa ni mahali pekee ninapoipenda mno JF japo sichangii mno. Tuyatende run shogun dish a hana hapa. Kuna wajanja toka nchi jirani wanapita humu kimya kimya wanabeba mawazo yetu na kuyatekeleza.Wakishafanikiwa wanatulipa matusi.
 
Back
Top Bottom