Kabombe, naweza pata mawasiliano yako tafadhali ili uweze nifahamisha zaidi pindi ntakapohitaji msaada wako?Lazima uwe na mteja nje ya nchi.hakikisha pesa imeingia katika akaunti yako ndio utoe shehena,sina uhakika kama mahindi bado ni marufuku kuuza nje,mengine huhitaji kibali.onana na clearing ajent atakusaidia kutengeneza nyaraka
Tupe data mkuu
Toa darasa hapa kwano hii mada inanfanywa kuwa siri kwa wachache waliofanikiwa matokeo yake ni kuwa biashara yetu kimataifa ni ndogo badala ya kuinuana ili tuuze nje kwa wingi
Mkuu umewahi kusafirisha kahawa?Zote mkuu hadi korosho na karanga
Kahawa hapana ila ina export tax kama koroshoMkuu umewahi kusafirisha kahawa?
Falcon Mombasa hatoi machaka,anazitengeneza dola peke yake
Anatubania mbayaa[emoji134]Falcon Mombasa hatoi machaka,anazitengeneza dola peke yake
Huwa nanunua mchele wakati wa ukiwa na bei ndogo then ukipanda nauuza,vip kwa ku-export nje naweza kuupeleka nchi gani ambao wanaweza kupenda mchele wetu wa Mbeya,na bei yake huko kama unafahamu na naweza kuanza na tani ngapi za mchele ili niukusanye vilivyo mwezi June.Falcon Mombasa hatoi machaka,anazitengeneza dola peke yake
Mchele peleka zanzibar una bei ya afadhali,ku export mchele kaka utapata kifaduro.kuna mchele wa pakistan umenyooka! Bei yake inaweza hata kufika nusu ya mchele wa kwetu katika soko la dunia,tatizo wenzetu wanapewa ruzuku na serikali ndio maana bei zao ni za chini sana sokoni kulinganisha na za kwetuHuwa nanunua mchele wakati wa ukiwa na bei ndogo then ukipanda nauuza,vip kwa ku-export nje naweza kuupeleka nchi gani ambao wanaweza kupenda mchele wetu wa Mbeya,na bei yake huko kama unafahamu na naweza kuanza na tani ngapi za mchele ili niukusanye vilivyo mwezi June.
Aksante sana kwa ushauri huo.Ubarikiwe zaidiMchele peleka zanzibar una bei ya afadhali,ku export mchele kaka utapata kifaduro.kuna mchele wa pakistan umenyooka! Bei yake inaweza hata kufika nusu ya mchele wa kwetu katika soko la dunia,tatizo wenzetu wanapewa ruzuku na serikali ndio maana bei zao ni za chini sana sokoni kulinganisha na za kwetu
Mkuu wale wana sheria kari sana kuhusu vyakula, mpaka ku meet standard zao sio swala dogo kabisa lazima uwe unazalisha organic,kwa nini ni complicated?
una maharage ya aina gani....ninahitaji yale meupe na mekundu (kidney beans)hakuna anayenunua maharage humu?
Nilikua na maharage ya njano.. Sold alluna maharage ya aina gani....ninahitaji yale meupe na mekundu (kidney beans)