Kabombe, naweza pata mawasiliano yako tafadhali ili uweze nifahamisha zaidi pindi ntakapohitaji msaada wako?Lazima uwe na mteja nje ya nchi.hakikisha pesa imeingia katika akaunti yako ndio utoe shehena,sina uhakika kama mahindi bado ni marufuku kuuza nje,mengine huhitaji kibali.onana na clearing ajent atakusaidia kutengeneza nyaraka