Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
kama unauwezo wa kusupply ,ninaweza kufanya mpango kwenye forum yetu ya wanunuzi wa kimataifa ambayo huwa tunalipia kujiunga na wanachama wapo seriousVipi kuhusu Soko la unga wa mahindi, ngano na mchele, nje ya nchi? yeyote mwenye ufahamu plz karibu tusikie mawazo yako!!!
Mkuu Hizo kontena unazipata kwa wenye meli na sio kwa wakala. Inatakiwa wakala anapofanya booking ndo aseme kwamba mzigo huu ni wakuharibika sasa hao watu wa meli wao ndo watampa hilo refrigerated container.Mkuu asante Sana kwa hii mada yako! Japo nimeipata kutokea google but nimeikuta kwa wakati muafaka, nna swali moja Dogo, hizi kampuni za Clearing and Forwarding za hapa Tanzania huwa zina zile Special Container ambazo zinahifadhi ubaridi kwa ajiri ya kuzuia product isiharibike wakati ikisafirishwa kwa njia ya Bahari? Unafahamu kampuni yoyote ya uhakika ambayo naweza kufanya nao kazi bila longolongo yoyote?
Mkuu! Nakushukuru Sana.Mkuu Hizo kontena unazipata kwa wenye meli na sio kwa wakala. Inatakiwa wakala anapofanya booking ndo aseme kwamba mzigo huu ni wakuharibika sasa hao watu wa meli wao ndo watampa hilo refrigerated container
Mkuu kwani uwezi ukawa unawauzia watu binafsi kwenye masokoChallenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Yeye anataka ku export ndo nikamumbia kuna mazao yatamsumbua hapo hasa yale ambayo serikali ina ya monitor.Mkuu kwani uwezi ukawa unawauzia watu binafsi kwenye masoko
Gharama yako ni bei gani mkuu. Mimi naitakaChallenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Gharama ikoje kakaChallenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
GHARAMA IKOJE KWA HIYO DATABASEChallenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Ni PM bei ya maharagwe per each 1mT (unauzaje kilo 1000) nikupatie soko:Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata