Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Vipi kuhusu Soko la unga wa mahindi, ngano na mchele, nje ya nchi? yeyote mwenye ufahamu plz karibu tusikie mawazo yako!!!
kama unauwezo wa kusupply ,ninaweza kufanya mpango kwenye forum yetu ya wanunuzi wa kimataifa ambayo huwa tunalipia kujiunga na wanachama wapo serious
 
Mkuu asante Sana kwa hii mada yako! Japo nimeipata kutokea google but nimeikuta kwa wakati muafaka, nna swali moja Dogo, hizi kampuni za Clearing and Forwarding za hapa Tanzania huwa zina zile Special Container ambazo zinahifadhi ubaridi kwa ajiri ya kuzuia product isiharibike wakati ikisafirishwa kwa njia ya Bahari? Unafahamu kampuni yoyote ya uhakika ambayo naweza kufanya nao kazi bila longolongo yoyote?
 
Mkuu Hizo kontena unazipata kwa wenye meli na sio kwa wakala. Inatakiwa wakala anapofanya booking ndo aseme kwamba mzigo huu ni wakuharibika sasa hao watu wa meli wao ndo watampa hilo refrigerated container.
 
Mkuu Hizo kontena unazipata kwa wenye meli na sio kwa wakala. Inatakiwa wakala anapofanya booking ndo aseme kwamba mzigo huu ni wakuharibika sasa hao watu wa meli wao ndo watampa hilo refrigerated container
Mkuu! Nakushukuru Sana.
 
Wadau habari zenu enyi watu wa biashara.

Ninaomba mwenye uelewa na experience ya biashara hii na hata anayeweza kujua masoko ya Nafaka mfano, maharagwe, mchele, kunde mbaazi na mazao mengine kwa nchi za nje Asia au Ulaya au popote nje ya nchi.

Tafadhari ninaomba mchanganuo na maarifa juu ya hili.

Kama ikibidi naomba uni PM nikutafute.

I need it seriously.
 
Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
 
Mkuu kwani uwezi ukawa unawauzia watu binafsi kwenye masoko
 
Kipindi hiki sio cha kuomba Ushauri huo Waeza pewa na kisha ukaishia Jela tu na kutaifishiwa Mazao yako... Kumbuka ile kitu ya Wapinzani kuitisha Njaa kwa Sauti kubwa. Ipo garam garam yaani Moto moto.
 
Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Gharama yako ni bei gani mkuu. Mimi naitaka
 
Ata mimi nahitaji ila nataka kujua gharama
 
Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Gharama ikoje kaka
 
Yaani ndio maana bongo kuendelea kazi ipo. Wewe si umsaidie mwenzako akupe mrejesho baada ya kuuza maana unataka cha juu utadhani dalali.
 
Halafu niwafundishe jambo. Vijana mnaoingia katika shughuli za kilimo kinachowaghalimu kufanikiwa katika kilimo ni tabia ya kuplay roles zaidi ya moja mtu moja huyo huyo. Wewe ni mkulima kazi yako ni kulima mazao ya standard inayotakiwa basi.

Sasa unakuta mtu mkulima yeye, msafirishaji yeye, mtu wa masoko yeye, bwana shamba yeye, dalali yeye, manager yeye, store keeper yy sasa mwisho wa siku akipiga mavuno mara moja tu kurudia tena hataki hata kusikia anaaacha. Tunakuwa tunafanya kilimo cha kujaribu.
 
Jamaa sijui ndo anataka kukamata wachochezi kwa gia ya michanganuo ya biashara ya mafuta.
 
Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
GHARAMA IKOJE KWA HIYO DATABASE
 
Challenge moja utayokutana nayo ni kwamba baadhi ya mazao hapo yatakupa tu usumbufu mfano mahindi au mchele au maharagwe hasa pale serikali inapopiga marufuku exportation. Labda u deal na mbaazi. Ninayo Database ya makampuni yanayonunua. Ukiitaka itabidi uilipie sababu na mimi niliigharamikia kuipata
Ni PM bei ya maharagwe per each 1mT (unauzaje kilo 1000) nikupatie soko:
 
Back
Top Bottom