Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

PITIA TOVUTI YA TANTRADE KWA MUONGOZO

Pitia tovuti ya TANTRADE kupata muongo wa kuexport na kila kitu unachotaka kujua kuhusu ku export na kujua tanzania inesain mikataba ya freetrade mataifa gani unapia tumia websiti ya IMPORTERHUB.COM kupata buyer kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Wengi wa buyers ni ukweli wapo taray kununua ilimradi ufikie viwango vya QUALITY na QUANTITY zake na pia Tanzania kuna mazao mengi ya ku-export kama karanga, maindi, soya, ufuta, ndizi, mchele, alizeti, ngano etc. Fuata sheria lipa kodi pata vibali kutoka malaka zinazohusika.
 
Ungenijua wala usingenitathimini hivyo, sijawai kuaajiliwa au kufanyakazi ya kibarua toka nizaliwe njoo kwenye changamoto za biashara ili ubebe uhusika ujue ulasimi wa tahasisi za kiserekali
Nimesema walio wengi. Sijasema hakuna changamoto. Kwani wewe unafanya biashara gani?
 
Tatizo letu Watz tunalalamika badala ya kuchukua hatua.

Kulalama sio suluhu ya urasimu.

Tuweke mikakati na mipango shupavu kudadavua hii changamoto.
Tutamia njia za panya mpaka lini?
Tutatoa rushwa mpaka lin?
Tutalalamika mpaka lini?
Tusimame pamoja tuweke mipango imara kukwamua hivi vikwazo.
Tutafute namna serikali ijue effort yetu kwenye kilimo kuendeleza maisha yetu na nchi yetu.
Tuungane.umoja ni nguvu
 
Mkuu ukihangaika na vibali utatembea hadi soli ya kiatu iishe. Wewe fanya yako kienyeji. Nina experience ya kisafirisha bidhaa za ngozi to Europe bidhaa nyingine nchi za kusini mwa africa. Nilizungukia vibali nikasumbuka sana. Nikaamua kufuata nyayo za wazee wa cross nikasafirisha bila vibali. Tz bado sana
 
Duh hii kali
 
Duuuuh kama utaratibu ndio huu nchi hii kuendelea itakuwa historia, nahisi wafanyakazi wanapoajiriwa huwa hawaelekezwi kazi kufanya au wanaelekezwa wanasahau nn wanakiwa wafanye kaaah taabu kwel kwelI.
 
Wewe pia hapa umelalamika hujatoa suluhisho au kwa kuwa na wewe ni Mtanzania?
 
Bado kuna nafasi ya kufanya jambo
Bado nchi yetu iko locked sana na sheria na Sera ambazo ukiziondoa hata serikali ibane matumizi vp watu wataendelea kupiga pesa kwa kufanya export mi naona tufanye movements campaign ya hivi vikwazo vya kibiashara ili viondolewe maana wao wanataka kodi lakini nchi haina mazingira mazuri ya biashara.
 
Mmmh kwa mfano mm nipo mtwara kila ninapotaka kusafirisha mazao kwenda msumbiji inatakiwa nije tena dodoma kufatatlia kibali c usumbufu huu, kwa utaratibu huu kupata pesa za kigeni nchini mwetu itakuwa ishu, yaani serekali badala ya kuweka wepesi katika ishu kama hizi, bado wanataka kutumia utaratibu wa kijima, tubadilike tuache ujima wa kutumia mavifingu ya mwaka 68 huko.
 
Wizara ya kilimo ni mambumbumbu watupu, siku moja naona habari (itv) balozi wa pakistani(kama sijasahau) alitaka kusafirisha machungwa ila akataka wizara iwe kama mdhamini wake.

Nilichosikitika wizara haijui ifanye nini? Yule balozi alimchana yule boya pale pale na kushangaa wizara gani wapuuzi vile.
 
Duuuuh kama utaratibu ndio huu nchi hii kuendelea itakuwa historia, nahisi wafanyakazi wanapoajiriwa huwa hawaelekezwi kazi kufanya au wanaelekezwa wanasahau nn wanakiwa wafanye kaaah taabu kwel kwel
Tatizo haliko tuu kwa wafanyakazi wa Serikali jamani, tatizo letu kama nchi ni CCM CCM CCM na SERA zao za BIASHARA!

Sera hizo hazikutengenezwa kwa ajili ya kuwawezesha watanzania wa kawaida kufaidi fursa za uwekezaji wowote ndani na nje ya nchi yao. Wageni au wawekezaji wageni wanafuatwa na viongozi wetu (CCM)mpaka huko kwao US, UK, FRANCE, CHINA wanaombwa kuja kuwekeza, wana ahidiwa misamaha ya kodi miaka 5 ya kwanza ya uwekezaji , wana ahidiwa cheap labour.

Ndugu zangu, nawaambia kweli, ukitaka kufanya BIASHARA yoyote nchi hii, ni lazima utajifunza kutoa rushwa ili biashara yako ifanikiwe, upende usipende!

Ndugu unaetaka kufanya export, TAHADHARI unayotakiwa kuichukua ni ya kupata wateja WAAMINIFU huko nchi za ng'ambo.
Kisha mteja wako akueleze masharti yao ya IMPORTS . . , haya mambo ya vibali vya Tz unaweza ukayapooza kwa fedha.
 
Mmmmhh ! Mimi sijaelewa kwani awataki usafirishe au ?
 

EXPORT PROCEDURES

Export means to take or cause goods to be taken out of Tanzania. Exports are free of duty and taxes except for three items; Raw hides and skins which are chargeable to export duty at the rate of 80% of FOB value or USD 0.25 per kg whichever is higher, Raw cashew nuts which are chargeable to export duty at the rate of 15% of FOB value or USD 160 per metric ton whichever is higher and Wet blue leather are levied at the rate of 10% on FOB.

How do I process export documents?
  • The exporter is required to appoint a Licensed Clearing and Forwarding Agent (CFA) to clear his/her goods for export
  • List of Clearing and Forwarding Agents
  • Documentation process is done online and completed before examination of goods and export release.
  • The exporter hands over the documents to the CFA who uploads them in the Tanzania Customs Integrated System (TANCIS for Mainland) and ASYCUDA++ for Zanzibar together with all attachment of relevant documents including permits from Other Government Departments (OGD).
  • Assessment of export taxes and duties if any.
  • CFA make booking of container(s) from shipping line/agent.
  • Stuffing of export cargo into container(s) under supervision of TRA and Other Government Departments (OGDs)
  • Shipping line/agent submit to TRA export vessel schedule information.
  • TRA audit (approve/reject) loading declaration (approved loading declaration automatically disseminated to Terminal operator as Loading List and becomes expected carry in).
  • Gate check in conformation by TRA terminal gate.
  • Terminal submits Carry in report to TRA to confirm arrival of export cargo at Terminal.
  • Loading result report (short/normal loaded cargo) submitted by terminal to TRA.
  • Conformation of loading report by TRA.
  • Submission of Export manifest by Shipping Line/Agent to TRA.
  • TRA Audit ( approve) export manifest (automatically strike off inventory from terminal)
Note:
  • For exportation made through Zanzibar the exporter hands over the documents either manually or electronically to the CFA who uploads them in the Automated Systems for Customs Data (ASYCUDA++) and lodges the same to TRA; whereby a reference number is automatically generated.
  • The exporter is required to inform the customs before loading the goods in the container or truck as the customs officer is required to supervise the loading process
  • Booking of the space at the shipping line is not required for exports made through overland.
What are the required documents?

The following documents shall be produced for export:
  • Invoice
  • Parking list
  • TIN certificate (exporter)
  • Authorization letter
  • Export certificates from relevant Authorities depending on nature of the goods to be exported. The certificates/permits may include.
  1. Certificates from Food and Drugs Authority
  2. Certificates from Ministry of Agriculture for crops
  3. Certificates from ministry of mines for minerals
  4. Certificates from Ministry of Natural Resources
 
Katika kusafirisha mazao shida kubwa kwanza ni kujua nchi unayo peleka na sera yao ya madawa ya kuifazia chakula mfano ni India.

India kuna soko kubwa sana la dengu,choroko mbaazi kunde maharage vinaenda sana huko na kibari kinatoka kilimo cha ku export ila shida ni kwamba unaweza kupeleka mzigo na ukaishia kuteketezwa kwa sababu ya aina ya dawa iliyo tumika ilo ni jambo la muhimu sana pia kama unataka kufanya kazi hii kwa uraisi tafuta agent akusaidie wana rahisisha sana hizi kazi kwasababu atafatilia yeye kila kitu wewe utampa mzigo tu na pesa.

Nina uzoefu na kazi hizi mimi ni agent wa clearing and forwarding pia naweza kukukutanisha na wafanya biashara wakubwa wenye uzoefu na kazi hizi na wanapeleka na huu mwezi wa sita ndo msimu una anza kama uko sirious soko la india ni zuri na kumbuka raisi alikubariana na wa India kupeleka mazao kule na vikwazo sio vingi.
 
Nice to see you bro



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…