swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Mkuu kma uko tayari naweza kukuunganisha na mtu moja kwa moja ambae anaweza kukushauri juu ya hio biashara na machine unayotka.
Anaweza akakuundia kabisa kwa bei nafuu.
Hahahaa na mtaji kabisa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Niko tayari kama atanipa na mtaji kabisaa...hahah
Acha utani mwenzako anazungumza icecream we unazungumza barafu, kiroba cha ule unga wakutengeneza icecream bei yake imesimama kweli kweli.Kama una friji haifiki hata 40,000 labda kama utataka kununua cooler box al maarufu deli.
Acha utani mwenzako anazungumza icecream we unazungumza barafu, kiroba cha ule unga wakutengeneza icecream bei yake imesimama kweli kweli
Hv mama hz cooler box kuna za dizain tofaut tofaut au ubora tofaut tofaut? dar wanauzaje kwa yale ya size ya kat nahsi ltr 30 kama sijakoseaKama una friji haifiki hata 40,000 labda kama utataka kununua cooler box al maarufu deli.
Uchira 1 acha umang'aa soma comment ya chipukizi uelewe nimeandika nini hizo taragram unaoita unga wewe naufahamu sana, sipo hapa kuonesha nachokijua(kwa ufupi najua vingi sana kwenye hii biashara) ila kumtajia makemikal mtu ambae keshasema anataka mtaji usiozidi 40,000 ni kuwa nje ya anachohitaji.
Mkuu hivi unaelewa maana ya "jukwaa" la biashara? Hapa kila mtu anatoa mawazo yake leo wewe umetoa beneficial ideas kwa mwenzio kesho anakupa yeye here we go...wakuu hebu acheni utani yani mtuu uko na wazo unataka watu wakumwagie plans, akumwagie strategy, akupen na budget zote, hebu tuwe na mitizamo mirefu jamani hilo swala utakalo ni swala la utafiti tena kwenye tasnia husika na hakuhitaji majibu mwepesimepesi
Kweli mkuu ila ilazima uje na vitu vichache vichache si kutaka kujua vyote kwa mkupuo na ukizingatia hii ni biashara kubwa , mi nadhani mlengwa angesema vipengele vichache angepata comment nyingi zaidi.Mkuu hivi unaelewa maana ya "jukwaa" la biashara? Hapa kila mtu anatoa mawazo yake leo wewe umetoa beneficial ideas kwa mwenzio kesho anakupa yeye here we go...
Jina sijuiHuo unga unaitwaje mkuu?
Anyway nadhani ni mtizamo tuu ka mtu anataka kutengeneza icecream kwa mtaji usiozid 40 elfu nadhani ni jambo ambalo haliwezekani, labda hivyo viwe ni kwaajili ya malighafi tu, pia biashara inahitaji uhalisia zaidi.Uchira 1 Soma comment ya chipukizi uelewe nimeandika nini hizo taragram unaoita unga wewe naufahamu sana, sipo hapa kuonesha nachokijua(kwa ufupi najua vingi sana kwenye hii biashara) ila kumtajia makemikal mtu ambae keshasema anataka mtaji usiozidi 40,000 ni kuwa nje ya anachohitaji.
We mchina mweusi upo wapi tukutafuteHuo mtambo tatizo hauuwezi kuumove!