Biashara ya kutengeneza Viatu vya Ngozi na Mikanda ya ngozi Inalipa

Joined
Oct 6, 2015
Posts
28
Reaction score
11
Habari wana Jf as tupoelekea katika Tanzania ya viwanda nikaamini nitaweza na nitapata support yakutosha katika kufanikisha hili jambo hivyo basi nimefikiria juu ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu vya ngozi tokana na upatikanaji wa Ngozi kwa nchini kwetu hapa Tanzania ni mzuri na zipo kwa wingi hususani upande wa kanda wa ziwa tokana na wingi wa mifugo raw material kitu kinachonisukuma nifungue kampuni nikijaribu kukimbizana na policy ya viwanda nikiamini kuwepo kwa support ya masoko mitaji na urahisi wa kodi kupitia serikali yetu.

Hivyo bas ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu wa kujua lolote juu ya biashara hii na upatikanaji wa mashine zake gharama namna ya kuzipata na mahitaji mengine yote kukamilisha project hii na inaweza kuhitaji mtaji wa kiasi gani kufanikisha.

Asante.
 
Ukianza ABC...takujoin mkuu
 
Kwa scale zetu za kawaida unahitaji vitu vifuatavyo;
1.mashine ya kushonea, inategemeana na aina ya viatu utakavyo shona lakini bei rahisi inaanzia 500,000/= na kuendelea zinapatikana kariakoo sokoni.
2.last(shepu za miguu) 15,000/= kwa pair moja na idadi itategemea designs and sizes ya viatu utakavyozalisha.
3.Mikasi. Tshs6,000/= na kuendelea inapatikana manzese
4.Punch kwaajili ya kutobolea matundu. sina hakika sana lkn nadhani bei inaanzia 3,000/=na kuendelea depending na sizes
5.wengine watajazilizia.

Lkn kwa utafit wangu mdogo, na kwa level za mitaji yetu kitu gharama ni mashine ya kushonea, ila THE MOST IMPORTANT FACTOR ni ART YA UTENGENEZAJI KIATU CHENYEWE sbb sehemu kubwa ya utengenezaji depends on the judgement of the shoe maker.
 
Thanks :geofreynyaga umenipa ufunuo kwa kiasi kikubwa sana.
 
Ukianza ABC...takujoin mkuu
Yaanze haya kwanza; General Jealous
Kwa scale zetu za kawaida unahitaji vitu vifuatavyo;
1.mashine ya kushonea, inategemeana na aina ya viatu utakavyo shona lakini bei rahisi inaanzia 500,000/= na kuendelea zinapatikana kariakoo sokoni.
2.last(shepu za miguu) 15,000/= kwa pair moja na idadi itategemea designs and sizes ya viatu utakavyozalisha.
3.Mikasi. Tshs6,000/= na kuendelea inapatikana manzese
4.Punch kwaajili ya kutobolea matundu. sina hakika sana lkn nadhani bei inaanzia 3,000/=na kuendelea depending na sizes
5.wengine watajazilizia.

Lkn kwa utafit wangu mdogo, na kwa level za mitaji yetu kitu gharama ni mashine ya kushonea, ila THE MOST IMPORTANT FACTOR ni ART YA UTENGENEZAJI KIATU CHENYEWE sbb sehemu kubwa ya utengenezaji depends on the judgement of the shoe maker.
 
Hii biashara nimeifanya na sasa nataka kuuza vifaa vyake hasa cherehani na grenda, Kama uko Sawa ni pm
 
Mkuu nini kimekusibu mpaka kuuza vitendea kazi? Hiyo cherehani inashona uzi ply ngapi?
 
Habari wana Jf as tupoelekea katika Tanzania ya viwanda nikaamini nitaweza na nitapata support yakutosha katika kufanikisha hili jambo hivyo basi nimefikiria juu ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu vya ngozi tokana na upatikanaji wa Ngozi kwa nchini kwetu hapa Tanzania ni mzuri na zipo kwa wingi hususani upande wa kanda wa ziwa tokana na wingi wa mifugo raw material kitu kinachonisukuma nifungue kampuni nikijaribu kukimbizana na policy ya viwanda nikiamini kuwepo kwa support ya masoko mitaji na urahisi wa kodi kupitia serikali yetu.

Hivyo bas ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu wa kujua lolote juu ya biashara hii na upatikanaji wa mashine zake gharama namna ya kuzipata na mahitaji mengine yote kukamilisha project hii na inaweza kuhitaji mtaji wa kiasi gani kufanikisha.

Asante.
Karibu nikujibu kiufundi ikiwa bado hujapata majibu yakutosheleza kuhusu Fursa hiyo ya viatu
 
Back
Top Bottom