General Jealous
Member
- Oct 6, 2015
- 28
- 11
Habari wana Jf as tupoelekea katika Tanzania ya viwanda nikaamini nitaweza na nitapata support yakutosha katika kufanikisha hili jambo hivyo basi nimefikiria juu ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu vya ngozi tokana na upatikanaji wa Ngozi kwa nchini kwetu hapa Tanzania ni mzuri na zipo kwa wingi hususani upande wa kanda wa ziwa tokana na wingi wa mifugo raw material kitu kinachonisukuma nifungue kampuni nikijaribu kukimbizana na policy ya viwanda nikiamini kuwepo kwa support ya masoko mitaji na urahisi wa kodi kupitia serikali yetu.
Hivyo bas ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu wa kujua lolote juu ya biashara hii na upatikanaji wa mashine zake gharama namna ya kuzipata na mahitaji mengine yote kukamilisha project hii na inaweza kuhitaji mtaji wa kiasi gani kufanikisha.
Asante.