Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Hii ndio ile, biashara ya kuja kunyang'anyana mafriji na TV!
 
Afrolink-Tz Consult Ltd kama hutajali, ninaomba ufafanuzi kidogo kwenye tofauti ya Microfinance na Microfinance Bank.

Najua zote ziko chini ya BOT, ningependa pia kujua mtaji kiasi gani unahitajika kwa kila moja.

Shukrani.

A: Napenda tuangalie kwanza ‘terms’ hizi za ‘Microfinance, Microfinance company vs Microfinance bank’ ili kupata maana sahihi ambazo zitatusaidia kuelewa vema pia suala la Microcredit. Kwa mujibu wa Sera Ya Taifa Ya Huduma Ndogo Za Fedha Ya Mwaka 2017, Ie National Microfinance Act 2017 Tanzania:
  • “Microfinance” means the provision of financial services including micro saving, microloan, micro insurance, micro leasing, micro housing micro pensions, money transfers, financial education and business development to the low-income population (individual, household, enterprises) who are systematically excluded from the financial system.
  • “Microfinance Bank” means banking institution licensed by the Bank of Tanzania to undertake banking business mainly with individuals, groups, micro and small enterprises of low-income population in the rural or urban area.
  • Microfinance Company” means a financial institution incorporated as a company limited by shares formed to undertake ranges of microfinance products and services except banking business primarily with microfinance Clients as defined.
  • “Microfinance Product and Service” means financial services such as micro savings, micro loans, micro insurance, micro housing, micro leasing, money transfers and other financial related services to microfinance clients.
  • “Microfinance Client” means individual, group or enterprise who accesses and uses products and services from the microfinance services providers.
  • “Microfinance Institution” means entity specialized in provision of microfinance product and service to microfinance clients as defined.
  • “Micro Leasing” means all the finance leasing operations with the following characteristics (i) where the average value of the asset in the portfolio is up to ten million Tanzanian shillings (ii) where the leasing term does not exceed 24 months.
  • “Micro Loans” means provision of small loans to low-income population, financially underserved customers, or as determined by the regulator.
Maelezo hayo ni kwa mujibu wa Sera Ya Taifa Ya Huduma Ndogo Za Fedha Ya Mwaka 2017 Tanzania, Chapisho la Oktoba, 2017 kurasa xi hadi xiii.
B: Mtaji unatofautiana katika hizi aina mbili ambapo kwa mujibu wa “Banking and Financial Act 1991, Suppliment no. 12, published on 25/03/2015 pg 152”, inaweka wazi kwa Microfinance Company kama ina matawi kwa Tanzania nzima basi mtaji wake uwe walau milioni 800TZS, na kama haina matawi basi mtaji uwe walau kuanzia mil 200TZS.
Naambatanisha Banking and Financial Act 1991 na sera ya Taifa ya Huduma ndogo za Fedha ya mwaka 2017 kuweza kusoma mambo mengi Zaidi yenye manufaa
 

Attachments


Shukrani sana mkuu, hapo umenielewesha vizuri.

Nilikuwa napata kigugumizi kwenye Microfinance Bank.

Sijapitia hizo acts perse, ila kuna kitu nitaomba mwongozo.

Between fully fledged bank and microfinance bank; is there any transactional threshold between micro and macro?
 
Ndiyo zipo. Soma ukurasa kuanzia 152 wa banking and financial institution act 1991, utaona hadi tofauti na mipaka ya microcredit, microfinance bank na bank kamili kiutendaji na uwajibikaji
 
Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kurahisisha mkuu, leseni ya biashara ya kukopesha inaangukia katika daraja A- ambayo inatolewa na wizara-mtaji wako hauhusiki hapo whether mkubwa au mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saccos hazisimamiwi na BOT na wala hazina leseni Ila zinaongozwa na katiba

K vant
SACCOS zinasajiliwa chini ya sheria ya ushirika na utendaji wake haukua unasimamiwa na BOT zaid ya MRAJIS wa ushirika ..ujio wa sheria mpya ya microfinance ndo unawapa BOT nguvu ya kusimamima utendaji kazi wa hizo SACCOS kama mabenki ( nadhan sheria bado inasubiria kanuni ianze kufanya kazi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani! Mwenye elimu (level) yoyote ile anaweza kisajili kampuni na akapata kibali...siyo lazima uwe umesoma uhasibu au mambo ya fedha. Ili mradi una unekidhi vigezo, unasajiliwa, sidhani kama kuna kigezo cha elimu. Mkuu Afrolink-Tz Consult Ltd amejibu "generally", nadhani kwa kuwa swali lako lilikuwa na maelezo mengi.
 

Hii Mchakato wake unaweza pitia mapendekezo haya ambayo baadae vlvl notisi ilifuatia
 

Attachments


Hapa kuna mambo mawili tofauti

1. Usajili wa kampuni
Hili halijalishi una elimu gani, usajili wa kampuni utafanikiwa. Hii ni kwa sababu kiwango cha elimu si kigezo cha kusajili au kutosajili kwa kampuni.

2. Kupata kibali kwa ajili ya uendeshaji wa biashara husika
Hili ndiyo huhitaji ujuzi katika fani husika. Tukianzia suala la Microfinance business. Hapa itakulazimu Mkurugenzi/wakurugenzi uwe na taaluma ya masuala ya fedha/mhasibu au uwe na uzoefu usio na shaka katika biashara husika ili uweze kuiendesha kwa ufanisi na upate kibali. Kama wote hamna basi mtalazimika kumtumia mwajiri/waajiri wenu ambae w/ana sifa za uhasibu/utaalam wa masuala ya fedha kupata kibali.

Biashara yoyote maalumu yenye kuhitaji taaluma maalumu huwezi kupata kibali kama hamna mtu mwenye sifa husika. Mifano michache ni kama vile Usajili wa kampuni ya Ukandarasi lazima uwe na Mkandarasi aliefuzu, Usajili wa Firm za uhasibu lazima uwe na taaluma husika, the same kwa sheria na washauri wa biashara pia kwn kibali/leseni hutolewa kutokana na kufuzu kwa ujuzi maalumu na si kwa kigezo cha kibiashara kama mtaji nk japo na hivi huangaliwa kama vigezo vya kujazia pia
 
Kwema. Naomba kushirikishwa kuhusu microcredit ni mtaji gani as starting point itahitajika.
Thanks
 
Unafahamu kweli ulichoandika hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…