luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hope umempa kila alichohitaji kazi imebaki kufanya tu.Biashara ikikubali kakate kibali cha fire 45,000 tu japo vibali vinatoka kwa sqm so idadi ya mitungi yako ndio ita determine wewe kibali chako kiwe cha sh ngapi.
mwanzo nilifanyaga mafekeche nikawa nimekata kbali kdg tu ila mitungi kibaooo,baadae roho ikanisuta nikaona nikija kuotewa ntaumia basi nimekubali ongeza dau kibali bei ya juu kdg,ila wewe cha 45k ndio size yako.
Kingine Fire extinguisher kwisha habari ukshapata certificate ya fire na hyo fire extinguisher umemaliza Hao fire inpectors wakipta eneo la ofisi yako watapta kwa mbaliii kama hawakuoni.
Kupata Kibali cha Fire ni LAZIMA uwe na leseni ya biashara plus TIN number,imeisha hiyo mkuu.Kapambane.
Asee una vitega uchumi halafu wife hakua na biashara unafeli wapi bwasheee,unakubalije bi mkubwa Kadi ya ATM ikose M kadhaaa,ukidondoka paaaa Hatoteseka yeye tu ila na wanao Pia.Nimepata kitu hapa,ngojea nimfungulie mama watoto,nna fremu nyumbani,nimeipangisha,itabidi nimfungulie wife biashara
Nimekuelewa sana kiongozi,ie uwezekano wa ww kwenda kiwandani bila mtu wa kati inawezekana,pili kiwandani mpaka uwe na mtaji kiasi gani ndio unaweza kwenda kununua mzigo?Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu
Gas zimepanda ila bado haisababishi ushindwe kuanza kufanya mtaji
ulio nao unatosha kuanza,ila achana na mambo za vibali mzee we komaa
BEI ZA GAS ZIKO KAMA IFUATAVYO
Mihan/Taifa
6KG 31,500 (gas + cylinder)
15KG 67,000 (gas + cylinder)
ORYX
6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 85,000 (gas + cylinder)
MANJIS
6KG 38,000 (gas + cylinder)
15KG 65,000 (gas + cylinder)
O GAS
6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 70,000 (gas + cylinder)
Hizo ndio gas ambazo zina mzunguko kwa wateja kwa sasa
kwa mtaji wako huo una weza ukaanza na Ndogo mbili kwa
kila kampuni utapata 219,000 na ukachukua 15KG 1 kwa kila kampuni
utapata 217,000 ukipga total hapo unapata 436,000 katika ile 500,000 yako
una balance ya 64,000 hii sasa kanunulie vifaaa vya gas kama Trivert na Burner
Vifaa bei Trivert 1 = 4000 Burner 1= 3000
Nunua Trivert 5 = 20,000
Nunua Burner 10 = 30,000
total 50,000, hapo chenchi imebaki 14,000 hiii 14k iliyobaki nadhani tunasema imebaki ki theory ila ki practical sidhan kama itakua imebaki maana nauli itakua humo,maji njiani,vocha kidogo.
so ki practical naona mfukoni utakua umebaki na jero au buku au sh 200 hv kama sio sh 100, Mtaji wako utakua umeishia hapo, kifuatacho ni wewe kupga biashara.
Najua sehemu ya biashara unayo mwanzo utakua unatoa na kuingiza hii ndio maana halisi ya mwanzo Mgumu.
Sijaweka bei za kubadlisha kwa wateja wa majumbani maana kila mtaa una bei zake,nadhani kuna kitu umepata mkuu MSHUKURU Copa Cabana kwa kuni tag maana nisingeuona uzi wako.
Kwa mwanzo huu utatoboa, nikupe tu siri 1 mkuuu, Usikatshwe tamaa na boya yeyote GAS ni TAMUU nikikwambia TAMUU namaanisha Anza kuuza kwa ugumu na shida hvyo hvyo Baada ya miaka yako mi 5 kurudi home na faida 300k per day kwenye gas tu ni jambo la kawaida SANAAAAA tena huyo n mfanyabiashara mdogo.
Ukitunisha mtaji 500K PER DAY UNAGUSA TU gas tamu baba tamu sana anza na usikatshwe tamaa japo mwanzo huu wakati unaanza utapgwa pgwa sana bei na wauzaji gas maana sio waaminifu ila usijali hata sisi wenzako tuliumizwa hvyo hvyo mpk kufikia hatua ya kwenda fata Lori lako depo si safari ndogo,ilikua safari ya kupanda milima na mabonde.Komaaa utatusua.
Mitungi kama anayo lakini bila shaka mitungi hanaKwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu

Madini yamekaa kwa kichwa tayari.Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu

Muwe mnasoma kwa kutulia basi!Sasa kila kitu kimeelezwa hapo alafu wewe unaongea si mambo gani?.Mitungi kama anayo lakini bila shaka mitungi hana
Nimekurupuka kama braza K, I'm sorry.Muwe mnasoma kwa kutulia basi!Sasa kila kitu kimeelezwa hapo alafu wewe unaongea si mambo gani?.
Huwezi kwenda depo (kiwandani) kule wanaenda mawakala Wakuu TU.Nimekuelewa sana kiongozi,ie uwezekano wa ww kwenda kiwandani bila mtu wa kati inawezekana,pili kiwandani mpaka uwe na mtaji kiasi gani ndio unaweza kwenda kununua mzigo?
Katika ubora wako mwamba😍Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu
Gas zimepanda ila bado haisababishi ushindwe kuanza kufanya mtaji
ulio nao unatosha kuanza,ila achana na mambo za vibali mzee we komaa
BEI ZA GAS ZIKO KAMA IFUATAVYO
Mihan/Taifa
6KG 31,500 (gas + cylinder)
15KG 67,000 (gas + cylinder)
ORYX
6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 85,000 (gas + cylinder)
MANJIS
6KG 38,000 (gas + cylinder)
15KG 65,000 (gas + cylinder)
O GAS
6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 70,000 (gas + cylinder)
Hizo ndio gas ambazo zina mzunguko kwa wateja kwa sasa
kwa mtaji wako huo una weza ukaanza na Ndogo mbili kwa
kila kampuni utapata 219,000 na ukachukua 15KG 1 kwa kila kampuni
utapata 217,000 ukipga total hapo unapata 436,000 katika ile 500,000 yako
una balance ya 64,000 hii sasa kanunulie vifaaa vya gas kama Trivert na Burner
Vifaa bei Trivert 1 = 4000 Burner 1= 3000
Nunua Trivert 5 = 20,000
Nunua Burner 10 = 30,000
total 50,000, hapo chenchi imebaki 14,000 hiii 14k iliyobaki nadhani tunasema imebaki ki theory ila ki practical sidhan kama itakua imebaki maana nauli itakua humo,maji njiani,vocha kidogo.
so ki practical naona mfukoni utakua umebaki na jero au buku au sh 200 hv kama sio sh 100, Mtaji wako utakua umeishia hapo, kifuatacho ni wewe kupga biashara.
Najua sehemu ya biashara unayo mwanzo utakua unatoa na kuingiza hii ndio maana halisi ya mwanzo Mgumu.
Sijaweka bei za kubadlisha kwa wateja wa majumbani maana kila mtaa una bei zake,nadhani kuna kitu umepata mkuu MSHUKURU Copa Cabana kwa kuni tag maana nisingeuona uzi wako.
Kwa mwanzo huu utatoboa, nikupe tu siri 1 mkuuu, Usikatshwe tamaa na boya yeyote GAS ni TAMUU nikikwambia TAMUU namaanisha Anza kuuza kwa ugumu na shida hvyo hvyo Baada ya miaka yako mi 5 kurudi home na faida 300k per day kwenye gas tu ni jambo la kawaida SANAAAAA tena huyo n mfanyabiashara mdogo.
Ukitunisha mtaji 500K PER DAY UNAGUSA TU gas tamu baba tamu sana anza na usikatshwe tamaa japo mwanzo huu wakati unaanza utapgwa pgwa sana bei na wauzaji gas maana sio waaminifu ila usijali hata sisi wenzako tuliumizwa hvyo hvyo mpk kufikia hatua ya kwenda fata Lori lako depo si safari ndogo,ilikua safari ya kupanda milima na mabonde.Komaaa utatusua.
NitajifunzaWadau kwemaa
Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia
Je mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh
Je vibali vya kufanyia iuo bishara zimekaaje
Naomba msaada wadau wenye uelewa
Mkuu nikiwa na 4M si naweza fanya kwa ukubwa kidogo?Asee una vitega uchumi halafu wife hakua na biashara unafeli wapi bwasheee,unakubalije bi mkubwa Kadi ya ATM ikose M kadhaaa,ukidondoka paaaa Hatoteseka yeye tu ila na wanao Pia.
Mfungulie Boss usiuweke tena fanya chap chap,hawa wake zetu waliotuletea viumbe ni wakuwawekea mazingira ya hela hadi wazizoeee wakitaka kwenda pelekea viben ten shauri zao,nachojua hawezi kubali mwanangu ateseke.
Kaniomba Mechi uwanja wa Nyumbani huyu😂Katika ubora wako mwamba😍
Unafanya kwa Ukubwa mzuri sana sana,Fanya mzeeMkuu nikiwa na 4M si naweza fanya kwa ukubwa kidogo?
Mm hapa kijna miaka 22 naomba namba yako unipe madini kidogo bro mm mgeni kwenye swala la biasharaUnafanya kwa Ukubwa mzuri sana sana,Fanya mzee
Gas is the REAL BUSINESS, mwanzo mgumu ila gas n biashara inayomfuta mtu machozi kwa haraka SANA no matter what...
We jamaa akili kubwa sana. Hope hautakufa masikini, nakutabiria makubwa.Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu