Biashara ya kuuza gesi za kupikia

Biashara ya kuuza gesi za kupikia

Biashara ikikubali kakate kibali cha fire 45,000 tu japo vibali vinatoka kwa sqm so idadi ya mitungi yako ndio ita determine wewe kibali chako kiwe cha sh ngapi.

mwanzo nilifanyaga mafekeche nikawa nimekata kbali kdg tu ila mitungi kibaooo,baadae roho ikanisuta nikaona nikija kuotewa ntaumia basi nimekubali ongeza dau kibali bei ya juu kdg,ila wewe cha 45k ndio size yako.

Kingine Fire extinguisher kwisha habari ukshapata certificate ya fire na hyo fire extinguisher umemaliza Hao fire inpectors wakipta eneo la ofisi yako watapta kwa mbaliii kama hawakuoni.

Kupata Kibali cha Fire ni LAZIMA uwe na leseni ya biashara plus TIN number,imeisha hiyo mkuu.Kapambane.
Habari mkuu.
Ninapanga kuingia kwenye hii biashara na kimtaji cha 8 -10m. Na kama nimekusoma vizuri unaweza kunihudumia.

Naomba kama hutajali tuyajenge ili kuona tunaanzaje na tutaendaje.
 
Mk
Biashara ya gas inafaa maeneo yote kutegemea na wapi ipo,kuna maeneo barabarani gas inatoka na kuna maeneo mitaani gas inatoka.

Kabla hujafungua biashara fanya research ya kutosha wateja wako ni akina nani na watatokea wapi.

Mtaani ni sawa
Barabarani ni sawa

Hakuna jibu la moja kwa moja kwenye hili swali mkuu,muhimu zingatia hayo kabla hujaanza biashara yako ya gas.
Mkuu CONTROLA Naomba kupatiwa Layout ya ndani ya Duka la Gas,yaan mpangilio wa mitungi,kabati,na shelves kama zipo...ili kuleta muonekano wa kisasa.
 
Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu

Gas zimepanda ila bado haisababishi ushindwe kuanza kufanya mtaji

ulio nao unatosha kuanza,ila achana na mambo za vibali mzee we komaa

BEI ZA GAS ZIKO KAMA IFUATAVYO

Mihan/Taifa

6KG 31,500 (gas + cylinder)
15KG 67,000 (gas + cylinder)

ORYX

6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 85,000 (gas + cylinder)

MANJIS

6KG 38,000 (gas + cylinder)
15KG 65,000 (gas + cylinder)

O GAS

6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 70,000 (gas + cylinder)

Hizo ndio gas ambazo zina mzunguko kwa wateja kwa sasa

kwa mtaji wako huo una weza ukaanza na Ndogo mbili kwa

kila kampuni utapata 219,000 na ukachukua 15KG 1 kwa kila kampuni

utapata 217,000 ukipga total hapo unapata 436,000 katika ile 500,000 yako

una balance ya 64,000 hii sasa kanunulie vifaaa vya gas kama Trivert na Burner

Vifaa bei Trivert 1 = 4000 Burner 1= 3000

Nunua Trivert 5 = 20,000
Nunua Burner 10 = 30,000

total 50,000, hapo chenchi imebaki 14,000 hiii 14k iliyobaki nadhani tunasema imebaki ki theory ila ki practical sidhan kama itakua imebaki maana nauli itakua humo,maji njiani,vocha kidogo.

so ki practical naona mfukoni utakua umebaki na jero au buku au sh 200 hv kama sio sh 100, Mtaji wako utakua umeishia hapo, kifuatacho ni wewe kupga biashara.

Najua sehemu ya biashara unayo mwanzo utakua unatoa na kuingiza hii ndio maana halisi ya mwanzo Mgumu.

Sijaweka bei za kubadlisha kwa wateja wa majumbani maana kila mtaa una bei zake,nadhani kuna kitu umepata mkuu MSHUKURU Copa Cabana kwa kuni tag maana nisingeuona uzi wako.

Kwa mwanzo huu utatoboa, nikupe tu siri 1 mkuuu, Usikatshwe tamaa na boya yeyote GAS ni TAMUU nikikwambia TAMUU namaanisha Anza kuuza kwa ugumu na shida hvyo hvyo Baada ya miaka yako mi 5 kurudi home na faida 300k per day kwenye gas tu ni jambo la kawaida SANAAAAA tena huyo n mfanyabiashara mdogo.

Ukitunisha mtaji 500K PER DAY UNAGUSA TU gas tamu baba tamu sana anza na usikatshwe tamaa japo mwanzo huu wakati unaanza utapgwa pgwa sana bei na wauzaji gas maana sio waaminifu ila usijali hata sisi wenzako tuliumizwa hvyo hvyo mpk kufikia hatua ya kwenda fata Lori lako depo si safari ndogo,ilikua safari ya kupanda milima na mabonde.Komaaa utatusua.
Mkuu nimesoma hii koment yako nimefurah sana,hii biashara nimekuwa nikiitaman zaid ya miaka 10 lkn nashindwa kufanya lkn leo umeni inspire sana.....ngoja nifanyie kazi
 
Credit CONTROLA
 
Biashara ikikubali kakate kibali cha fire 45,000 tu japo vibali vinatoka kwa sqm so idadi ya mitungi yako ndio ita determine wewe kibali chako kiwe cha sh ngapi.

mwanzo nilifanyaga mafekeche nikawa nimekata kbali kdg tu ila mitungi kibaooo,baadae roho ikanisuta nikaona nikija kuotewa ntaumia basi nimekubali ongeza dau kibali bei ya juu kdg,ila wewe cha 45k ndio size yako.

Kingine Fire extinguisher kwisha habari ukshapata certificate ya fire na hyo fire extinguisher umemaliza Hao fire inpectors wakipta eneo la ofisi yako watapta kwa mbaliii kama hawakuoni.

Kupata Kibali cha Fire ni LAZIMA uwe na leseni ya biashara plus TIN number,imeisha hiyo mkuu.Kapambane.

Credit CONTROLA
 
Kwa mtaji huo unaweza kuanza kibishi bishi na ukafanikiwa vyema tu

Gas zimepanda ila bado haisababishi ushindwe kuanza kufanya mtaji

ulio nao unatosha kuanza,ila achana na mambo za vibali mzee we komaa

BEI ZA GAS ZIKO KAMA IFUATAVYO

Mihan/Taifa

6KG 31,500 (gas + cylinder)
15KG 67,000 (gas + cylinder)

ORYX

6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 85,000 (gas + cylinder)

MANJIS

6KG 38,000 (gas + cylinder)
15KG 65,000 (gas + cylinder)

O GAS

6KG 40,000 (gas + cylinder)
15KG 70,000 (gas + cylinder)

Hizo ndio gas ambazo zina mzunguko kwa wateja kwa sasa

kwa mtaji wako huo una weza ukaanza na Ndogo mbili kwa

kila kampuni utapata 219,000 na ukachukua 15KG 1 kwa kila kampuni

utapata 217,000 ukipga total hapo unapata 436,000 katika ile 500,000 yako

una balance ya 64,000 hii sasa kanunulie vifaaa vya gas kama Trivert na Burner

Vifaa bei Trivert 1 = 4000 Burner 1= 3000

Nunua Trivert 5 = 20,000
Nunua Burner 10 = 30,000

total 50,000, hapo chenchi imebaki 14,000 hiii 14k iliyobaki nadhani tunasema imebaki ki theory ila ki practical sidhan kama itakua imebaki maana nauli itakua humo,maji njiani,vocha kidogo.

so ki practical naona mfukoni utakua umebaki na jero au buku au sh 200 hv kama sio sh 100, Mtaji wako utakua umeishia hapo, kifuatacho ni wewe kupga biashara.

Najua sehemu ya biashara unayo mwanzo utakua unatoa na kuingiza hii ndio maana halisi ya mwanzo Mgumu.

Sijaweka bei za kubadlisha kwa wateja wa majumbani maana kila mtaa una bei zake,nadhani kuna kitu umepata mkuu MSHUKURU Copa Cabana kwa kuni tag maana nisingeuona uzi wako.

Kwa mwanzo huu utatoboa, nikupe tu siri 1 mkuuu, Usikatshwe tamaa na boya yeyote GAS ni TAMUU nikikwambia TAMUU namaanisha Anza kuuza kwa ugumu na shida hvyo hvyo Baada ya miaka yako mi 5 kurudi home na faida 300k per day kwenye gas tu ni jambo la kawaida SANAAAAA tena huyo n mfanyabiashara mdogo.

Ukitunisha mtaji 500K PER DAY UNAGUSA TU gas tamu baba tamu sana anza na usikatshwe tamaa japo mwanzo huu wakati unaanza utapgwa pgwa sana bei na wauzaji gas maana sio waaminifu ila usijali hata sisi wenzako tuliumizwa hvyo hvyo mpk kufikia hatua ya kwenda fata Lori lako depo si safari ndogo,ilikua safari ya kupanda milima na mabonde.Komaaa utatusua.
Shukrani ndugu umeshusha point sana
 
Biashara ikikubali kakate kibali cha fire 45,000 tu japo vibali vinatoka kwa sqm so idadi ya mitungi yako ndio ita determine wewe kibali chako kiwe cha sh ngapi.

Mwanzo nilifanyaga mafekeche nikawa nimekata kbali kdg tu ila mitungi kibaooo,baadae roho ikanisuta nikaona nikija kuotewa ntaumia basi nimekubali ongeza dau kibali bei ya juu kdg,ila wewe cha 45k ndio size yako.

Kingine Fire extinguisher kwisha habari ukshapata certificate ya fire na hyo fire extinguisher umemaliza Hao fire inpectors wakipta eneo la ofisi yako watapta kwa mbaliii kama hawakuoni.

Kupata Kibali cha Fire ni LAZIMA uwe na leseni ya biashara plus TIN number,imeisha hiyo mkuu.Kapambane.
Samahani mkuu, nimevutiwa sana na hii biashara hivyo nikavutiwa kuuliza baadhi ya maswali.
1. Tin na leseni lazima viwe vya biashara ya gas au biashara yeyote tu uliyonayo mtu?.
2. Kwa sasa ni muda toka Uzi huu uwe posted na nimeona siku hz kuna gas zingine kama lake, vp mzunguko wake mtaani?
Ahsante, nategemea kusikia toka kwako mkuu
 
Ndugu yangu anafanya hii biashara na amepata pesa ya kutosha kwenye gas
Anauwezo wa kuuza mitungi 100 kwa wiki
Nasikitika pombe inamrudisha nyuma hadi anapoteza mitungi na pea
Kila mtungi anapata faida kiasi gani?
 
Back
Top Bottom