Biashara ya kuuza kahawa

Biashara ya kuuza kahawa

Poleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,

Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.

Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa:

WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa.

Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine).

Niiweke na vifaa vinginevyo
  • Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
  • Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,

Je mnaonaje wazo LANGU?

Naombeni mawazo, ushauri na maboresho kwenye wazo LANGU,
espresso machine) hii mashine bei gani mkuu vip na hapo daslamu zinapatikana?
 
espresso machine) hii mashine bei gani mkuu vip na hapo daslamu zinapatikana?
Ukipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15
Ila mpya Hadi milion 50 na kuendeleza kulingana na ubora na ukubwa wa mashine
 
Ukipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15
Ila mpya Hadi milion 50 na kuendeleza kulingana na ubora na ukubwa wa mashine
daaah..mi nikajua millioni mbili
 
Ukipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15
Ila mpya Hadi milion 50 na kuendeleza kulingana na ubora na ukubwa wa mashine
Hii bei hatari 😁 hadi nmeshtuka
 
Back
Top Bottom