kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
- Thread starter
- #21
Twende tukapige kaziUshanipa wazo
Ushanipa wazo la biashara kesho kutwa utanikuta mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende tukapige kaziUshanipa wazo
Ushanipa wazo la biashara kesho kutwa utanikuta mtaani
espresso machine) hii mashine bei gani mkuu vip na hapo daslamu zinapatikana?Poleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa:
WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa.
Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine).
Niiweke na vifaa vinginevyo
- Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
- Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,
Je mnaonaje wazo LANGU?
Naombeni mawazo, ushauri na maboresho kwenye wazo LANGU,
Ukipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15espresso machine) hii mashine bei gani mkuu vip na hapo daslamu zinapatikana?
daaah..mi nikajua millioni mbiliUkipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15
Ila mpya Hadi milion 50 na kuendeleza kulingana na ubora na ukubwa wa mashine
Hii bei hatari 😁 hadi nmeshtukaUkipata second use ni Bei chee kidogo ikiwa nzima haina tatizo au haijatumika sana unaweza iotea hata kwa milioni 12----15
Ila mpya Hadi milion 50 na kuendeleza kulingana na ubora na ukubwa wa mashine