kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Poleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa:
WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa.
Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine).
Niiweke na vifaa vinginevyo
Je mnaonaje wazo LANGU?
Naombeni mawazo, ushauri na maboresho kwenye wazo LANGU,

- Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
- Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,