Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ni bei.Mtwara masasi maziwa lita moja 3k.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nahtaji kufungua milk pointInategemea unataka kufanya kwa ukubwa gani.
1.Kuna wale wenye biashara ya miguu 2 wanapakia vidumu vya lita tano tano wanakuwa na kikombe cha nusu lita na robo lita wanapima.
2.Kuna wanaouza kwenye vituo vya mabus hawa wanakuwa wameshapaki kwenye chupa za lita moja au nusu(hizi chupa ni zilr zilizokuwa na maji ya kiwandani mfao hill,afya &uhai)
3.Kuna ambao wananunua vifungashio special wanapaki humo na kuweka label na kusambaza.
4.Kuna wanaofungua milk point/milk bar.
5.Kuna wanaofungua kiwanda kabisa kama dae fresh and like.
Upatikanaji wake zamani nilikuwa najua wanatoa mkoani yanashukia pale kisutu unadamka alfajr unaenda kununua kuanzia lita 20.
Sijajua kama sasa hivi bado yanapatikana.
Ok AsanteRiverside hapa wanauza jumla lita tano kwa tsh 8,500
Mtindi na fresh
Kunauwezekano wa kuwa unatoa maziwa Moro to dsmHata morogoro maziwa ni bei chee
Hapo River Side unatakiwa uwe makini sana na wauzaji kwani maziwa yapo ya aina nyingi kwani hata Mahindi machanga, Ngano na Mihogo unaweza kupata maziwa pia zingatia harufu hasa kwa mtindi.Riverside hapa wanauza jumla lita tano kwa tsh 8,500
Mtindi na fresh
Sido kulikuwa na Training Usindikaji na maziwa ikiwa ni sehemu ya iliyoisha mwezi wa nane kwani mm ni mmoja wapo niliyehudhuria.Najazia tu maneno hii biashara nzur Sana Ila ningumu kupata taarifa zake hata mm natamani Sana kufanya hii biashara katika kufatilia kwangu nimegundua sido wanaweza kunisaidia A2Z ishu ni muda tu
Sasa hivi yanapatikana kwa uhakika na Kwa wingi Kiluvya madukani.Inategemea unataka kufanya kwa ukubwa gani.
1.Kuna wale wenye biashara ya miguu 2 wanapakia vidumu vya lita tano tano wanakuwa na kikombe cha nusu lita na robo lita wanapima.
2.Kuna wanaouza kwenye vituo vya mabus hawa wanakuwa wameshapaki kwenye chupa za lita moja au nusu(hizi chupa ni zilr zilizokuwa na maji ya kiwandani mfao hill,afya &uhai)
3.Kuna ambao wananunua vifungashio special wanapaki humo na kuweka label na kusambaza.
4.Kuna wanaofungua milk point/milk bar.
5.Kuna wanaofungua kiwanda kabisa kama dae fresh and like.
Upatikanaji wake zamani nilikuwa najua wanatoa mkoani yanashukia pale Kisutu unadamka alfajr unaenda kununua kuanzia lita 20.
Sijajua kama sasa hivi bado yanapatikana.
Fursa hiyo changamkia.Sasa mbona ni bei.
Maana hapa Dar mjini nanunua litamoja 2,000.
Yaani nitoe maziwa Dar nipeleke Masasi?Fursa hiyo changamkia.
#MaendeleoHayanaChama
Kiluvya ni maziwa mazuri zaidi River Side.Sasa hivi yanapatikana kwa uhakika na Kwa wingi Kiluvya madukani.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kama ina lipa unapeleka tu shida iko wapi.Yaani nitoe maziwa dar nipeleke masasi?
Pale Kiluvya foleni kinoma.Sasa hivi yanapatikana kwa uhakika na Kwa wingi Kiluvya madukani.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app