Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Biashara kama hizi ndogo ndogo jaribu kufanya mwenyewe; or rather you can involve your wife if possible. Ku-share biashara na stranger mtaishia kudhurumiana tu na kuanza kushitakiana muwape kazi Police wakati hamna mkataba wowote ule.

Kama unashusha 10 kwa sasa basi fanya bidii ushushe 15, 30, 50 kisha hata zaidi ya 100. Kwenye biashara bila subira hutafika popote.
 
Hii business ni nzuri sana maana kupika ni lazima
wazo zuri sasa hadi zije kufikia mia si leo higher quantity higher profit basi ningepata mkopo ingekuwa vizuri tatizo ni mtaji mdogo
 
Nipo Dar nitakutafuta, nina advantage mbili zitakazoweza kutuwezesha, naifahamu hii biashara na nina gari kubwa.
 
wazo zuri sasa hadi zije kufikia mia si leo higher quantity higher profit basi ningepata mkopo ingekuwa vizuri tatizo ni mtaji mdogo
Trust me, usitegemee mkopo kabisa, just relax and do on your way. Hatuombei ila kwa mfano umekopa Benki ama kwa mtu, kesho Fuso linaingia mtoni - huna insurance je umefikiri itakuwaje.

1+1 makes 2. Haraka ya nini, bado una miaka mingi tu ya kuishi duniani na kufanya biashara yako iwe kubwa zaidi, siri ni kuheshimu tu kazi yako. Hata ikiwa kubwa badala ya mkaa unafanya nyingine inayoendana na ukuaji wa mtaji wako.
 
hebu elezea japo kidogo biashara ikoje inaendaje mtaji wa kiasi gani ili tujue tunakupigia na kuanzia wpi
 
Nataka kufanya biashara Ya Mkaa Kutoka Mkoani kuleta Dar es Salaam.
Je! Dar Mkaa Kiroba huwa Wanauzaga bei gani?

Na vipi Processes za Watu wa Maliasili kuhusu Kupata Vibali vya Kufanya Biashara iyo Bila Mashaka mashaka Yakusumbuliwa.

Ahsante!
 
Biashara ya mkaa ni pasua kichwa...kufilisika ni dk 0

vikwazo ni vingi mno...bange afadhali Mara 100
 
Kunahitajika Mkaa gunia 500-700
Kwa bei ya shambani siyo ya middleman.. Wala ya kununulia mjini.. Nataka ukusanywe uko uko unapo chomewa nikauchukue mwenyewe bei ni kati ya 15,000/= mpaka 17,000/= ndio nitakayo inunulia.
 
Kunahitajika Mkaa gunia 500-700
Kwa bei ya shambani siyo ya middleman.. Wala ya kununulia mjini.. Nataka ukusanywe uko uko unapo chomewa nikauchukue mwenyewe bei ni kati ya 15,000/= mpaka 17,000/= ndio nitakayo inunulia
 
Kunahitajika Mkaa gunia 500-700
Kwa bei ya shambani siyo ya middleman.. Wala ya kununulia mjini.. Nataka ukusanywe uko uko unapo chomewa nikauchukue mwenyewe bei ni kati ya 15,000/= mpaka 17,000/= ndio nitakayo inunulia.
Mkuu mkoa gani huo mkaa utoke?
 
Wakuu wasalamu

Nina mkaa magunia mia natafuta namna ya kupata kibali cha serikali niweze kusafirisha kama kuna anayejua naomba anisaidie namna ya kupata kibali cha kuupeleka mwanza

Regards
 
Wakuu wasalamu

Nina mkaa magunia mia natafuta namna ya kupata kibali cha serikali niweze kusafirisha kama kuna anayejua naomba anisaidie namna ya kupata kibali cha kuupeleka mwanza

Regards
uko wap mkuu mimi ninacho
 
Habarini wakuu
Natafuta sehem ya kufanya biashara ya mkaa hapahapa jijini Dar es salaam isiwe sehemu za kishua sana maeneo ya uswazi nayapa kipaumbele
 
Habarini wakuu
Natafuta sehem ya kufanya biashara ya mkaa hapahapa jijini Dar es salaam isiwe sehemu za kishua sana maeneo ya uswazi nayapa kipaumbele
I njoo mwananyamala kuna location nzuri
Pia mbezi kuna location nzuri coz bado wengi hawatumiii Gesi populatio inko juu na watu wanahitaji .... nicheki ukiona vip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…