Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Nafuatilia ingawa Mimi ni mchoma mkaa Njombe. Aliyetayari tunamtumia mikoa ya Dar na kwingineko. Mkaa wetu ni mzito na mzuri.
 
Naomba nijulishwe hapo kwenye biashara ya kuuza mkaa,

inaitaji vitu gani ili uweze kuifanya bila kusumbuliwa na maliasili,

Nia yangu ni kulangua mkaa kutoka vijini nakuja kuuza mjini.

Changamoto zake pia.

Cc Zero IQ.
 
DA KWELI MAISHA MAGUMU KUTOKA CHIPS KULE UNAPOWAPATIAGA MADEMU WA KUSINI NA KWINGINEKO MPAKA BIASHARA YA MKAA?
 
DA KWELI MAISHA MAGUMU KUTOKA CHIPS KULE UNAPOWAPATIAGA MADEMU WA KUSINI NA KWINGINEKO MPAKA BIASHARA YA MKAA?
Mkuu we unajua biashara ya mkaa ina mtaji wa shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom