Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Faida utakayoipata inategemeana na mji unaoishi. Hivyo ni vyema ukaeleza uko mkoa gani ili kupata mahesabu yaliyo kamili. Vinginevyo utapigiwa hesabu ya faida kwa Dsm wakati uko sehemu ambayo hutapata faida zaidi ya sh.5000
 
Utapata pesa za kula kunywa kuvaa basi.
Sio kweli pesa huwa hazina alama kwamba zimetoka kwenye biashara gani.
Cha msingi ni mahesabu yako tu kwenye matumizi.
Mimi Kuna mtu namfaham anafanya biashara ya mkaa ana pesa kuwazidi hata managers wa kampuni za kibongo.
Imagine hadi majambazi huwa wanamvamia nyumbani kwake na huwa hawakosi kuondoka na milioni 7.
Maisha sio kukariri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tunazungumzia anayeuza mkaa wa kupima kwenye makopo au soft
 
Dah... Very simpo...Kama kwenye gunia moja utapata vipimo 100 na ukauza gunia moja kwa siku kwa buku kwa kipimo... Faida itakuwa 75,000/ - kwa siku...2,250,000 kwa mwezi...na Kama ukiwa na vijiwe 4...ni 9m kwa mwezi....108m kwa mwaka...na ukikomaa kwa miaka 5 tu...unapata kama 540m faida... ambayo ni zaidi ya mafao ya mbunge....

Conclusion;
Kazi ya kuuza mkaa ni bora zaidi ya Mara 2 ukilinganisha na kazi ya Ubunge
[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Faida utakayoipata inategemeana na mji unaoishi. Hivyo ni vyema ukaeleza uko mkoa gani ili kupata mahesabu yaliyo kamili. Vinginevyo utapigiwa hesabu ya faida kwa Dsm wakati uko sehemu ambayo hutapata faida zaidi ya sh.5000
Umenikumbusha mbali, enzi tuko shule, ukinunua maharage unawaza nishati, ilikuwa ni nafuu upike wali maharage ununue kwa mama ntilie.
 

Hata upime vipi huwezi kupata vipimo 100...
Yale makopo ya litre 4 unaweza kuyaminya pembeni angalau ukapata vipimo 50 vya kuuza shilingi mia5 kwa mkoani,songea,njimbe,iringa,morogoro,dodoma
 
Mimi nataka kufanya biashara ya mkaa Lakini sijui bei kwa jumla mwenye uzoefu na biashara hii plz nijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…