Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Ukitaka ushauri ntakusaidia, na pia ukitaka complete line kutoka sawdust briquetting mpaka carbonisation process nitafute hapo unapata mkaa wa nguvu na pia utakuwa umesaidia conservation.
 
Ukitaka ushauri ntakusaidia, na pia ukitaka complete line kutoka sawdust briquetting mpaka carbonisation process nitafute hapo unapata mkaa wa nguvu na pia utakuwa umesaidia conservation.
Tueleweshane vzr kidogo.
1) Hizo mashine unauzaje?

2) Mkaa unaozalishwa na hizo mashine una ubora gani kulinganisha na mkaa wa porini?

3) Weka picha ya hiyo mashine (commercial)

4) Weka picha ya mkaa uliotokana na hiyo machine.
 
Nipo mkoani Njombe.. Kwa yeyote mwenye mtaji kutoka mikoa ya nje ambaye angependa kufanya biasha hii ya mkaa anambie nimpe namba ya simu tupange biashara
 
mkaa wa aina gani mkuu. nasikia serikali imepiga marufuku kusafirisha mikaa kutoka wilaya moja kwenda ingine
 
Habari za kutwa,

Naomba kujuzwa changamoto na faida ya biashara ya mkaa kwa rejareja.
Nahitaji kuingia kwenye hiyo biashara ila nikaona ni vyema kuwashirikisha maana naamini kuna watu wanaijua hii biashara ya mkaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…