DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
RC wa hapo anasemaje? Huku Dar RC anapambana nayo sasa hivi.
 
We ni mpitaji,je wakazi wanasemaje kwani.
Hiyo biashara ipo miaka nenda rudi.kiufupi ni janga.
Ila jinsi yakukabiliana nayo inahitaji akili na sio Kama wanavyokurupuka Hawa wanasiasa uchwala.

Maisha yanabadirika sana
 
Hiyo biashara inafanywa na wageni wanaotafuta masoko ya bidhaa zao hizo za kuuza miili yao. Wana uzoefu wa kufanya biashara hiyo. Huishi wengi kwenye vyumba vya kupanga au guest. Hao raia si wenyeji, wenyeji wameduwaa wanawashangaa wageni hao kufanya biashara hiyo ngeni mjini singida hasa nyakati za usiku maeneo ya kirima, rode na ubungo
 
Umasikini ndio sababu kuu, kipato cha mtu mmoja mmoja singida ni duni sana

Binti mzuri akikosa matunzo ya familia nadhani utajua kinachofuata
Si kweli hata kama unapesa oa mnyaturu, mbulu,mnyiramba na mrangi then utapata majibu.
 
Back
Top Bottom