DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Biashara hii imelea na kusomesha wengi tu,kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta,tutaiacha inaendelea,mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Helping domo zeges get laid for centuries🤣🤣🤣🤣
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭.

Hao watoto hawana wazazi wanaoona hayo? Dunia iko hivi, you can't push the problems away from society, but you can push society away from the problems.

Serikali haiwezi saidia kuboresha maadili, ila wewe unaweza waweka mbali watoto/ Jamii yako mbali na hayo mazingira.

1. Wanawake wataendelea jiuza.
2. Wanaume wataendelea nunua.
3. Uovu utazidi kuongezeka...

Haiondoi wajibu wako kujitenga wewe na jamii yako na uovu.
 
Kwa Mara ya kwanza toka nizaliwe Jana ndo nimewaona hao wafanyabishara kwenye sehemu aliyosema mtoa mada.
Nikashangaa Kuna madogo wanawachungulia pale hata hawawachukui, sijui walikuwa wanasubiri discount!!
Nikaitwa niende nikachague nikalala mbereeeeee
 
Kwa Mara ya kwanza toka nizaliwe Jana ndo nimewaona hao wafanyabishara kwenye sehemu aliyosema mtoa mada.
Nikashangaa Kuna madogo wanawachungulia pale hata hawawachukui, sijui walikuwa wanasubiri discount!!
Nikaitwa niende nikachague nikalala mbereeeeee
Mimi mwenyewe nilienda ili nikashuhudie kwa macho maana sijawahi ona!
 
Huo mtaa hauitwi kirima, unaitwa mughanga/mwenge. Ni eneo ambalo ipo baa maarufu ya kirima. Hao malaya/makahaba wametapakaa kuanzia hapo mpaka stendi ya zamani kuna kaeneo kamepewa jina kanaitwa ubungo, kuanzia jioni mpaka usiku pamechangamka kwa biashara za usiku. Cha ajabu ikifika saa tatu usiku hao makahaba wanavua nguo za staha na kubaki na hizo za ndani. Mbaya zaidi wanazingira mpaka wazee. Ukiwaambia mi ni mzee wanakujibu una uzee gani, kwani haisimami? Sha shaa ukapate, ukiwaambia huna hela wanataka mpaka buku mbili. Ukienda kupewa usizidishe muda wanaoupanga wao kulingana na kiasi cha hela ulichotoa. Ukizidisha muda wanakuchomolea na kudai uongeze hela, kama hutaki imeisha hiyo hata kama hujafika tamatini. La sivyo ongeza hela. Ni washenzi kweli hao makahaba wanachotaka ni hela tu, mapenzi wanakuambia kamuoneshe mkeo

Hema ni jina la kike la Kinyaturu.
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭.
Serikali itafanya kitu gani wakati yenyewe ndiyo imesababisha haya? Na bado...kila siku nasema kuna siku itakuja Tanzania italipuka kama bomu. Ilivyo ni kwamba CCM sasa hivi imejaa wapumbavu wanaodhani matatizo yanatatuliwa kwa kuyafunika. Kuanzania kwa rais mpaka kwa wakuu wa wilaya, wote ni watu wasio na clue wafanye nini na wanadhani wapo picnic.
 
Biashara hii imelea na kusomesha wengi tu, kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta, tutaiacha inaendelea, mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Mwanzo 38:15-21
 
Hivi kwanini wanawake wa singida
Utulivu huwa sifuri....
Maana utakuta 60% ya malay wanawake ni kutoka sing singda, kondoa nk

Ova
Singida, Kondoa, Manyara ni wapewe maua. Hawa ni wagawa mbususu wazuri. Mimi nawapenda sana..kila siku nawaombea kanisani wapewe pepo yao ya peke yao wananikonga warahi
 
Nitafanya tena utalii eneo hilo la kirima ili kuzinguana na hao makahaba. Shida yao wapate nawaandalia buku mbilimbili kuwapa kama wakinizingira usiku huo ili nitoke salama ila kuwanyandua sitaki, maana hata ukitaka kuwanyandua hutafurahia penzi lao ni la kuharakishwa. Pale hata ukinywa viagra na vumbi la kongo unajisumbua bure hawataki shoo za muda mrefu. Pale uende ukiwa umesimamisha mti kabisa na dakika mbili ufike tamati usitake kuendelea raundi ya pili utailipia tena. Wana visa vingi sana hao makahaba ukiwaendea jipange sawasawa

Hata jina lako hilo Hema ni la Kinyaturu, lazima mnajuana sana na dada zako hao.
 
Back
Top Bottom