DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭.
Ilikuwa mishale ya saa ngapi?
 
Wanawake waliumbwa na vazi la kuwasitiri linaitwa AIBU/SONI/HAYA!!!. Wanawake wanaofanikiwa kulivua vazi hilo usiombe kukutana nao!! Kinga ya pili waliyoumbwa nayo wanawake ni kukosa nguvu ya misuli!!! Vinginevyo wangekuwa na misuli ya kutosha, wangewabaka sana wanaume!!
 
Et tunge bakwa.
 
Uongozi wa eneo husika unaona, serikal ya mtaa, diwan, jeshi la polisi n.k wanaona/ kusikia, shortly wametoa baraka kama hawachukui hatua
Mkuu unataka askari wetu wakiwa lindo usiku wakapone wapi? Kazi na dawa
 
Huo mtaa hauitwi kirima, unaitwa mughanga/mwenge. Ni eneo ambalo ipo baa maarufu ya kirima. Hao malaya/makahaba wametapakaa kuanzia hapo mpaka stendi ya zamani kuna kaeneo kamepewa jina kanaitwa ubungo, kuanzia jioni mpaka usiku pamechangamka kwa biashara za usiku. Cha ajabu ikifika saa tatu usiku hao makahaba wanavua nguo za staha na kubaki na hizo za ndani. Mbaya zaidi wanazingira mpaka wazee. Ukiwaambia mi ni mzee wanakujibu una uzee gani, kwani haisimami? Sha shaa ukapate, ukiwaambia huna hela wanataka mpaka buku mbili. Ukienda kupewa usizidishe muda wanaoupanga wao kulingana na kiasi cha hela ulichotoa. Ukizidisha muda wanakuchomolea na kudai uongeze hela, kama hutaki imeisha hiyo hata kama hujafika tamatini. La sivyo ongeza hela. Ni washenzi kweli hao makahaba wanachotaka ni hela tu, mapenzi wanakuambia kamuoneshe mkeo
Legend, asante kwa kutuwakilisha mkuu pande hizo
 
Hawa makahaba wanauze QUMER na serikali inauza BANDARI; ngoma droo......kila mtu auze alicho nacho, isiwe shida.
 
Back
Top Bottom