Kirima ni bar ya mchagga wa kibosho kirima.
Inshort ukiachilia mbali Rwezahura, Rhode.
karibu bar zingine zote hapo singida ni za wachagga wa kibosho mfano....Kirima kina massawe mbacho, Serengeti ya kina mmasy, Nyoka lounge ya kina Mwacha sijui, Star city ya Msele, kuna hii bar imefunguliwa kama unaenda mwenge ndani ndani nasikia ni ya Munishi, Stanley Mushi ana ile stanley motel na kama unaenda gineri kuna garden moja nzuri, MYK bar na Kisoka bar....
pia narina ni ya mchagga
Kilimanjaro bar ni ya mchagga wa rombo
Sky way pazuri sijajua ya kina nani [emoji28][emoji28][emoji28]
Sijaleta ukabila lakini nisieleweke vibaya....