Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
NAKAZIABiashara hii imelea na kusomesha wengi tu,kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta,tutaiacha inaendelea,mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Hawa viumbe muhimu sana kwenye jamii, malaya wapewe haki zao