DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭
Kila mtu anauza chake, hawa wanauza bandari, hawa wanauza nyuchi.
 
Huo mtaa hauitwi kirima, unaitwa mughanga/mwenge. Ni eneo ambalo ipo baa maarufu ya kirima. Hao malaya/makahaba wametapakaa kuanzia hapo mpaka stendi ya zamani kuna kaeneo kamepewa jina kanaitwa ubungo, kuanzia jioni mpaka usiku pamechangamka kwa biashara za usiku. Cha ajabu ikifika saa tatu usiku hao makahaba wanavua nguo za staha na kubaki na hizo za ndani. Mbaya zaidi wanazingira mpaka wazee. Ukiwaambia mi ni mzee wanakujibu una uzee gani, kwani haisimami? Sha shaa ukapate, ukiwaambia huna hela wanataka mpaka buku mbili. Ukienda kupewa usizidishe muda wanaoupanga wao kulingana na kiasi cha hela ulichotoa. Ukizidisha muda wanakuchomolea na kudai uongeze hela, kama hutaki imeisha hiyo hata kama hujafika tamatini. La sivyo ongeza hela. Ni washenzi kweli hao makahaba wanachotaka ni hela tu, mapenzi wanakuambia kamuoneshe mkeo
 
Mm nilijua pale ubungo, pamechangaka kwa sababu ya biashara ya kuku,,,,,, kumbe hadi nyapu zinauzwa pale !!
 
Back
Top Bottom