DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi nashauri makahaba wawe na bar zao special za kufanyia biashara yao kama ilivyo kwa wenzetu Nairobi. Ule mji unakutana na mdada kavaa kiheshima kabisa saa 4 asbh na anaongea kistaarabu akiwa havuti sigara. Ila ukimfuatilia anapoenda ni kwenye bar kuuza mwili. Na zile bar ziko ghorofani huko kuingia kwake lazima ukaguliwe na mlinzi mlangoni. Ule utaratibu niliupenda kwasababu hata sisi mimi mteja wao kabla sijaamua kuachana nao ilinirahisishia sana kuwapata. Pale Luthuli Avenue kuna bar inaitwa Rico. Haya mambo ya kujipanga barabarani ni upuuzi mno. Manispaa itume mgambo kuwakamata.
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭
Uliopoa mmoja?
 
Mm nilijua pale ubungo, pamechangaka kwa sababu ya biashara ya kuku,,,,,, kumbe hadi nyapu zinauzwa pale !!
hayo mambo tuliyaona dar sana lakini siku hizi hadi miji mingine yapo. Niliposikia kuna eneo limepewa jina la ubungo na kunauzwa nyama hizo muda huo ilibidi nifanye utalii kujionea biashara hiyo katika mji ambao hudhani kama biashara hiyo inafanyika kama dar. Awali nilichunguza na kubaini kuwa wale makahaba si wenyeji bali ni wageni walioenda ku lounch biashara hiyo mikoani. Wamepanga mitaani wana vyumba vyao na wengine wanalalalala guest hapa na pale mradi tu wanapata fedha za kulipia vyumba wanavyolala. Ukiwataka jiandae kisaikolojia kuwa hutafurahia shoo kama hutawapa hela ndefu utakatizwa uongeze, hutaki kuongeza dau imetoka hiyo, ukileta za kuleta unajaziwa watu kuwa unamfanyia dhuluma. Tahadhari: makahaba wengine ni wezi na wanyang'anyi, wanashirikiana na vibaka kupora wateja wao fedha na simu
 
😂😂😂😂Aliesema ukanunue nani
 
Aisee Kioso mmejaa Singida kama Sambarai kmmk
Sema nilikuwa singida saivi nipo dar ila napita hapo mara moja moja, wakiosi wapo wengi sana pamoja na dodoma pia wapo, shinyanga pia kahama, Tabora yote nawafahamu wengi sana waliopo huko.

Kwa sasa wakibosho wengi wana afadhali ya maisha kuliko wachagga wote na siyo kuwa najisifia ila iko hivo.
 
Back
Top Bottom