DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
50/50 ndiyo kizazi cha hovyo kinachokuja mbeleni na serikali ijipange mana kitakuwa ni kizazi ambacho hakina uwoga
 
Ahaaa dede kulya Kirima Wamushi nyiwo wafye
Lakini alimuuzia mbacho mkuu huyo mushi nasikia yupo dar, sijajua kwa nini wenyeji pale town wamelala mpaka fursa zote tumezichukua.

katika wachagga tuliokuwa inferior ni sisi lakini nowdays tuko juu sana 😁😁😁 wamachame hawatuambia kitu tena
 
Kirima ni bar ya mchagga wa kibosho kirima.

Inshort ukiachilia mbali Rwezahura, Rhode.

karibu bar zingine zote hapo singida ni za wachagga wa kibosho mfano....Kirima kina massawe mbacho, Serengeti ya kina mmasy, Nyoka lounge ya kina Mwacha sijui, Star city ya Msele, kuna hii bar imefunguliwa kama unaenda mwenge ndani ndani nasikia ni ya Munishi, Stanley Mushi ana ile stanley motel na kama unaenda gineri kuna garden moja nzuri, MYK bar na Kisoka bar....
Sky way pazuri sijajua ya kina nani 😅😅😅

Sijaleta ukabila lakini nisieleweke vibaya....
Mmassy ukoo wangu huo. Kule Dodoma kuna sehemu inaitwa Kwa Sango, kuna Kidia Visition Hotel, Mkomilo nk
 
Lakini alimuuzia mbacho mkuu huyo mushi nasikia yupo dar, sijajua kwa nini wenyeji pale town wamelala mpaka fursa zote tumezichukua.

katika wachagga tuliokuwa inferior ni sisi lakini nowdays tuko juu sana 😁😁😁 wamachame hawatuambia kitu tena
Kuna Mushi mmoja anajenga ghorofa kubwa pale Sinza Mugabe DSM. Kikundi chao ukitaka kuingia sharti uwe na milioni 50 kwanza
 
Hapo kuna bar,nilikuwa na kimeo changu nilifika Jpili ,siku hiyo hiyo Christian Bella alikuwa anapiga shoo,aisee humo nilikutana na wanawake ni wana matako balaa. Hizi kazi za kusafiri ni kuomba Mungu, vishawishi ni vingi.
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili [emoji24]

USHSURI: Hawa Sex workers wapewe TIN NUMBERS na maeneo maalumu ya biashara zao. Na walipie kodi.
Asnt kwa kutupatia location nikija Singida nitawatafuta niwaungishe
 
Condom zinawapa watu Ujasiri na jeuri..
Bahati mbaya ikipasuka sasa mtu anakua mdogo na mpole kuliko kidonge cha piritoni...
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili [emoji24]
Ndo ccmu ya ss hiyo , watakwambia sasa wafanyaje?
 
Biashara hii imelea na kusomesha wengi tu,kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta,tutaiacha inaendelea,mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Bunge linafanya kazi gani kwenye swala la sheria maana siku hizi wanasema wao ndo wanatupa maoni ili watufunze
 
Back
Top Bottom