Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

Hapo cha kumshauri ni kwamba kama anauzoefu na driving achukue bajaj mpya na dereva awe mwenyew kwan kwa bajaj mpya uhakika wa 50k+ uhakika.
afu baada ya km 1000 ndo anafanya service na hapo n kumwaga oil kupiga miguu griss kubadil bafa,slider n.k.
gharama haizid 30k na hii ataifanya ndani ya miaka miwil endapo bajaj ikiwa mkononi mwa mtu moja kwan mikon ming uharibu chombo.
Angalizo kama hajawahi kuendesha bajaj asianze na mpya kwan ataiua mapema maana kama sio dereva anaweza akaua mkono kwa kukaba saana mafuta kuchelewa kubadil gear n.k ko bora uanze na used kwa mwana hata miez miwil uwe expert kidg
 
Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar,
1. Uuzaji nguo,
2.uwakala(mpesa,tigo,banks),
3.usafirishaji abiria kwa bajaji

Bioashara ina cover vitu vitatu tu:-

Kwanza:- Inatakiwa uwe na mtaji regardless biashara gani unataka kuanzisha.
Pili:-Inatakiwa uwe na knowledge ya biashara unayotaka kuifanya ,lazima uwe na ABCs ,Do and Don't za hiyo Bizness.
Tatu:-Uwe na Soko la biashara yako.
 
Back
Top Bottom