Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtaji wa laki2 duka gani la vyakula?Nataka biashara ambayo kama nawekeza pesa yangu ili ispotee uzoefu wangu biashara ya maduka ya vyakula
Sambusa mkuu pesa yenyewe si naipoteza sasa hapo bado vitendea kazi
cheki humo hutotoka bureNgoja nicheki mkuu japo hapa nina mtaji wa laki mbili ndo nataka usipotee
Biashara ya voucher mala mia yasigara!! Paketi moja ya cigara ya 4500 faida yake ni kama 1500!!vocha ili upate faida hiyo lazima uuze kama za 60,000!!!!Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
Lini imetangazwa kuwa sigara haziruhusiwi kipindi hiki?!! Acha kupotoshasigara itakukata maana wizara ya afya anazuia uvutaji hasa ktk kipindi hiki cha korona
uza maji,juice,biskuti mixers na vocha na sigara kwa mbali..
Brother kuna madin mhimu sanacheki humo hutotoka bure
Yetu macho na masikio bwana hili ni jukwaa yaweza kuwa ndo kunazuio litatoka labdaLini imetangazwa kuwa sigara haziruhusiwi kipindi hiki?!! Acha kupotosha
Ok yote mawazoBiashara ya voucher mala mia yasigara!! Paketi moja ya cigara ya 4500 faida yake ni kama 1500!!vocha ili upate faida hiyo lazima uuze kama za 60,000!!!!
Mkuu nitakufa njaa hata hivyo corona naona kama ugonjwa wa matajir
Nilisema uzoefu ila nikaomba mwenye ushaur mwingine ambao utalenga zaidi hiyo pesa isipotee karibuSasa mtaji wa laki2 duka gani la vyakula?
Ohhhh...Mk
Mkuu nitakufa njaa hata hivyo corona naona kama ugonjwa wa matajir
Nipo kibaha mkoa wa pwani
Mawazo mhimu mkuu
Ohhh....Nipo kibaha mkoa wa pwani
Lengo langu hii pesa sitaki ipotee nataka nifanye kama naiwekeza saw a na mtu anaenunua ardhi
Nikiweka na sigara zote biashara itaenda binadamu lazima avute naweka na Tigo rusha
Karibuni Kwa mtu ambae ana biashara tofauti na hii lakin sitaki iwe na risk sana ambayo haiwez kupoteza pesa hii nataka ambayo ni ndogo ndogo kama hivyo lakin iwe muda with inatoka
Na nitajitahidi iwe masaa 24 huduma ziwepo lazima
Naomba wadau mawazo yoyote ambayo yatakuwa hayalengi kupoteza hii pesa
Mkuu naomba utumie kiswahili english me sielewiYou can't have your cake and eat it too.
PERIOD.
Lini imetangazwa kuwa sigara haziruhusiwi kipindi hiki?!! Acha kupotosha
Kwa avatar hiyo huwezi elewa!!ndio maana umedandia train kwa mbele!! Ila nashukuru niliyemjibu kanielewa!!hatushauriwi kuvuta fegi
*..huko shuleni ulienda kusomea ujinga.!