Biashara ya kuuza sigara na vocha

Nataka biashara ambayo kama nawekeza pesa yangu ili ispotee uzoefu wangu biashara ya maduka ya vyakula


Sambusa mkuu pesa yenyewe si naipoteza sasa hapo bado vitendea kazi
Sasa mtaji wa laki2 duka gani la vyakula?
 
sigara itakukata maana wizara ya afya anazuia uvutaji hasa ktk kipindi hiki cha korona

uza maji,juice,biskuti mixers na vocha na sigara kwa mbali..
 
Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
Biashara ya voucher mala mia yasigara!! Paketi moja ya cigara ya 4500 faida yake ni kama 1500!!vocha ili upate faida hiyo lazima uuze kama za 60,000!!!!
 
sigara itakukata maana wizara ya afya anazuia uvutaji hasa ktk kipindi hiki cha korona

uza maji,juice,biskuti mixers na vocha na sigara kwa mbali..
Lini imetangazwa kuwa sigara haziruhusiwi kipindi hiki?!! Acha kupotosha
 

You can't have your cake and eat it too.


PERIOD.
 
hatushauriwi kuvuta fegi

*..huko shuleni ulienda kusomea ujinga.!
Kwa avatar hiyo huwezi elewa!!ndio maana umedandia train kwa mbele!! Ila nashukuru niliyemjibu kanielewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…