Matumizi ya vocha yamepungua sana, kuuza vocha za laki inahitaji nguvu kidogo.Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
Lengo langu hii pesa sitaki ipotee nataka nifanye kama naiwekeza saw a na mtu anaenunua ardhi
Nikiweka na sigara zote biashara itaenda binadamu lazima avute naweka na Tigo rusha
Karibuni Kwa mtu ambae ana biashara tofauti na hii lakin sitaki iwe na risk sana ambayo haiwez kupoteza pesa hii nataka ambayo ni ndogo ndogo kama hivyo lakin iwe muda with inatoka
Na nitajitahidi iwe masaa 24 huduma ziwepo lazima
Naomba wadau mawazo yoyote ambayo yatakuwa hayalengi kupoteza hii pesa
Ahsante brotherTuanze ss:Sigara zinakaa 20 kwa paketi
Aina ya sigara
1.Sigara Master unanunua 1600/= rejareja unauza 100/= faida 400/=
2.Kali 1650/= rejareja 100/= faida 350/=
3.SM /Sports 3400/= rejareja 200/= faida 600/=
4.Embasy 4200/= rejareja 300/= faida 1800/=
5.Winston 1600/= rejareja 100/=faida 400/=
It depend on location sehem zenye mzunguko ongeza +50/=kwa rejareja
VOCHA
Unanunua(za jero) 9600/= zinakaa 20 faida 400/=
Uzuri wa biashara hzi zinategemeana sana na mzunguko kwa maeneo ya stand haukosi hela ya kula.
Nikutakie kila la kheri ndugu anza sasa usirudi nyuma.
[emoji3516]Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
Ushauri wako[emoji3516]
ZINGATIO:
BEI YA KUNUNUA KWA JUMLA VOCHA MOJA NZIMA NI SH. 950/-,
BEI YA KUIUZA VOCHA HIYO NI SH. 1,000/-,
HI YO FAIDA NI SH. 59/-,
HIVYO
UKIUZA VOCHA ZA THAMANI YA 100,000/-,
FAIDA YAKO NI SH. 5,000/-.
Sent using Jamii Forums mobile app