Biashara ya kuuza sigara na vocha

Biashara ya kuuza sigara na vocha

Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
Matumizi ya vocha yamepungua sana, kuuza vocha za laki inahitaji nguvu kidogo.
 
Lengo langu hii pesa sitaki ipotee nataka nifanye kama naiwekeza saw a na mtu anaenunua ardhi

Nikiweka na sigara zote biashara itaenda binadamu lazima avute naweka na Tigo rusha

Karibuni Kwa mtu ambae ana biashara tofauti na hii lakin sitaki iwe na risk sana ambayo haiwez kupoteza pesa hii nataka ambayo ni ndogo ndogo kama hivyo lakin iwe muda with inatoka

Na nitajitahidi iwe masaa 24 huduma ziwepo lazima

Naomba wadau mawazo yoyote ambayo yatakuwa hayalengi kupoteza hii pesa

Hakuna anaefanya biashara anapenda pesa yake ipotee pambana na wazo lako lakini faida yake apo ni ndogo approximately kama 3% ya capitala yako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuanze ss:Sigara zinakaa 20 kwa paketi
Aina ya sigara
1.Sigara Master unanunua 1600/= rejareja unauza 100/= faida 400/=
2.Kali 1650/= rejareja 100/= faida 350/=
3.SM /Sports 3400/= rejareja 200/= faida 600/=
4.Embasy 4200/= rejareja 300/= faida 1800/=
5.Winston 1600/= rejareja 100/=faida 400/=
It depend on location sehem zenye mzunguko ongeza +50/=kwa rejareja

VOCHA
Unanunua(za jero) 9600/= zinakaa 20 faida 400/=
Uzuri wa biashara hzi zinategemeana sana na mzunguko kwa maeneo ya stand haukosi hela ya kula.

Nikutakie kila la kheri ndugu anza sasa usirudi nyuma.
 
Ahsante brother
 
Lakin mzunguko mkubwa kama upo haina shida kama unauza labda Kwa siku vocha za laki na upo sehem hulip kodi za eneo me naoma kama ndo Fursa peke yake
[emoji3516]
ZINGATIO:

BEI YA KUNUNUA KWA JUMLA VOCHA MOJA NZIMA NI SH. 950/-,
BEI YA KUIUZA VOCHA HIYO NI SH. 1,000/-,
HI YO FAIDA NI SH. 59/-,

HIVYO
UKIUZA VOCHA ZA THAMANI YA 100,000/-,
FAIDA YAKO NI SH. 5,000/-.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza na mitungi ya Ges ,

Back
Top Bottom