masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Wengi wenye mashine Dar wanapack unga pitia mashine za mazense na kwengineko uone kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiongeze tengeneza package nzuri na ufanye marketing ili uuze hadi nje ya mkoa wa ruvuma ikibidi hadi nje ya nchi. Nina shem wangu alitajirikia dodoma kwa biashara hiyo hiyo ya kusaga unga wa mahindi bila ya kusafirisha dar.Mkuu kama umetembea mikoa mingi ya Tanzania utakubaliana hakuna Mkoa hata mmoja unafikia Dar hata kwa asililimia 60 kwa kila kitu.
Dar is far the most developed and fast growing Region in Tz.
Ukiongelea biashara ya mahindi kwa mfano....Ruvuma kuuza kilo za Unga 100kwa siku inweza kuwa ndoto wakati Dar utauza siku moja au siku mbili tu.
Ruvuma unaweza ukawa unauza kilo 5 hadi 10 tu kwa siku. Sasa Tani Moja utaimaliza lini.
Itakulipa sana ukitafuta sehemu hapo dar kuna store nyingi zimegeuzwa magofu tafuta moja hata Tandika au Gomz tafuta mashine nunua mahindi kwa wakulima bei rahisi hata Morogoro au rufiji saga mwenyewe ongeza virutubisho print mifuko uza unga wakoHabarini wakuu
Kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kufungua biashara ya uuzaji wa unga wa mahindi ambapo unga utakuwa unasagwa mkoani na kuletwa huku Dar
Kutokana na ugeni katika nyanja hii imenipasa kutafuta taarifa muhimu ambazo zinaweza kunisaidia kufanya hii biashara.
Kwahiyo kama kuna mtu ana uzoefu na biashara hii kwa huku Dar kama ni potential au lah naomba aniambie na kama ikiwa ni ngumu pia nikipata ushauri namna ya kuikuza ikawa yenye manufaa zaidi naomba aniambie
Asanteni
Mimi ni mkazi wa Dar mkuu, rekebisha kauli yako.Watu wa mikoani wana ushamba sana wa dar! Yaani kila siku wanawaza wafanyeje ili wawe na acces ya kufika dar mara mara. Mtu kama mleta mada anaweza kukomaa huko huko nyanda za kusini na akatoboa huko huko coz soko bado ni kubwa ila unaweza kuta yeye mwenyewe haamini anaweza kutoboa bila kuja Dar
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hawajui kwa mkoa kama ruvuma wakazi wengi ni wakulima wa mahindi hivyo swala la unga kwao sio tatizo na kingine mzunguko wa pesa au bishara ni mdogo sana songea , nashauri aende akajionee asifikiri watu wite wanaoongea hivi wapo mikoaniMkuu kama umetembea mikoa mingi ya Tanzania utakubaliana hakuna Mkoa hata mmoja unafikia Dar hata kwa asililimia 60 kwa kila kitu.
Dar is far the most developed and fast growing Region in Tz.
Ukiongelea biashara ya mahindi kwa mfano....Ruvuma kuuza kilo za Unga 100kwa siku inweza kuwa ndoto wakati Dar utauza siku moja au siku mbili tu.
Ruvuma unaweza ukawa unauza kilo 5 hadi 10 tu kwa siku. Sasa Tani Moja utaimaliza lini.
Unamaanisha biashara Songea ni mbayaHawajui kwa mkoa kama ruvuma wakazi wengi ni wakulima wa mahindi hivyo swala la unga kwao sio tatizo na kingine mzunguko wa pesa au bishara ni mdogo sana songea , nashauri aende akajionee asifikiri watu wite wanaoongea hivi wapo mikoani
Dona inaweza kuongezwa virutubisho ganiNa ukiwa smart, huitaji kuhangaika na mahindi. Wekeza kwenye branding, promo, quality, tafuta virutubisho na uvifanye siri na then nunua unga, weka nembo yako na ongeza virutubisho. Segment soko lako na uhakikishe unafikia mahitaji ya walaji uliowachangua
Dona sio hata 10% ya mzigo wotedona inaweza kuongezwa virutubisho gani
Kwann umetumia past tense mkuu? Utajiri uliondoka ?Jiongeze tengeneza package nzuri na ufanye marketing ili uuze hadi nje ya mkoa wa ruvuma ikibidi hadi nje ya nchi. Nina shem wangu alitajirikia dodoma kwa biashara hiyo hiyo ya kusaga unga wa mahindi bila ya kusafirisha dar.
Natamani kupata no yakoHii ni biashara nzuri Sana Mkuu Cha kufanya hapa tafuta wakala wa hapa DSM akutafutie wateja itakuwa vizuri Zaid uki deal na wafanyabiashara wa jumla. Yaani ukiweza kupack fresh na ukipata usafiri wa uhakika ni biashara inayolipa Sana.
Pack kuanzia kg 5,10,25
Ukikwama niambie nikutafutie wateja
Jaribu pia kucheki na mikoa ya kusini, maana unga unatokaga dar unaenda huko. Kila la kheriSijafahamu mkuu lakini tunataka tutoe mkoani nyanda za juu kusini hasa Ruvuma kule kilo mahindi 540 tuyasagie kule ili tuje tuuzie huku Dar
Sio kweli mkuu… Mbona bakhresa, azania na wengineo wanafanya hivyo.Sijawah ona